Ushawahi kusikia dawa ya kuzuia mhemko duniani?

MAENE

Senior Member
Joined
Jan 7, 2011
Posts
116
Reaction score
22
Habari wandugu! ningependa madaktari waliopo hapa wanisaidie kama kuna dawa yeyote ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuzuia mhemko? ( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa kuyaingia maisha ya ndoa wakaishi peke yao maisha yao yote).
 
ikate chururu yako.
 
dawa ya mhemko ni kushida njaa tu. Achana na hii kitu njaa. Noma sana. Ndo maana wanasema adui mwombee njaa. We ukihisi mhemko acha kugonga menyu mara tatu kwa wiki.
 
zuia kupiga baadhi ya virutubisho vinavyoleta mihemko kama karanga, asali, madafu, juisi ya mkwaju na ikiwezekana usimsogelee m.dada!
 
Piga puli kutwa mara 16 ukipata majibu utanambia
 
Habari wandugu! ningependa madaktari waliopo hapa wanisaidie kama kuna dawa yeyote ambayo imetengenezwa kwa ajili ya kuzuia mhemko? ( ambayo inaweza kuwasaidia wale ambao hawana mpango wa kuyaingia maisha ya ndoa wakaishi peke yao maisha yao yote).
ha ha ha ha....!!! Umenivunja mbavu. Ndugu kumbuka mahali ulipokesea ukatubu dhambi zako. Mungu hakukosea kukuumba jinsi ulivyo. Hata ukipata hizo dawa ukaztumia zikakata mawasiliano ya ku Do hakika mbingu hautaiona manake utakuwa umeharibu uumbaji wake Mola.
 
Back
Top Bottom