Ushawahi kutoka jasho shuleni

Ushawahi kutoka jasho shuleni

Tembo25

Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
39
Reaction score
25
Yaani, hamna kitu kilichokuwa kinatisha watu kama kukaa mbele ya darasa na huelewi yale anayofundisha mwalimu halafu anakuchagua kujibu swali na hauliwezi na ukigeuka kuna kiboko cha mpera😂😂

Utatamani kugeuza sakafu shimo utumbukie na hapo amekukazia kweli ila kengele inakuokoa ya mapumziko lakini bado hataki utoke mpaka ujibu na una njaa balaa weeeee, ni aidha ufe na fimbo au ujikomaze na swali ambalo linakupa mawenge.
 
Back
Top Bottom