Supercomputer
JF-Expert Member
- Feb 13, 2021
- 634
- 1,311
Kweli nimeamini kuna matendo usipoyafanya katika umri unaostahili kuyafanya basi unakuja kuyafanya katika umri usiostahiliUhali gani mwanaJF
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kuanzia shule ya msingi mpaka a-level nilikuwa mtakatifu (Clean student) nikifaulu kwa juhudi zangu.
Hali ilibadilika baada ya kuingia chuo kikuu. Nikaanza kuwa muhuni na kuwa top cheater nikitumia mbinu zufuatazo
I)Kuandika mkononi au kwenye shati formula mbalimbali
2)Kuweka daftari la kozi husika toilet na katikati ya mtihani naomba ruhusa ya kwenda toilet kumbe naenda kuangalia majibu ya maswali yaliyonishinda
Je, wewe ushawahi kutumia umafia gani kufaulu kwenye elimu yako?

Mkuu, vp ulinusurika kucarry hiyo kozi?Tuliwahi kufanya hivi kwenye Supplementary, mlinzi akagundua akaenda kulitoa. Tulipoenda kupiga chabo kwa kisingizio cha kwenda Toi tukalikosa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu we ungepewa kifuta jasho Cha Ibillion ungekataa kutia saini?Ndo nyie mkipata nafasi mnauza bandari
Bila shaka ni kwenye test tu na sio UEIfm pale nimeingia sana Kwa paper na cm..
Shatri ukae nyuma
Nilitoboa mkuu.Mkuu, vp ulinusurika kucarry hiyo kozi?
Mkuu Mwifwa huwa nacheka tu nikiona ID yakoNilitoboa mkuu.
Uhali gani mwanaJF,
Rejea kichwa cha habari hapo juu.
Kuanzia shule ya msingi mpaka a-level nilikuwa mtakatifu (Clean student) nikifaulu kwa juhudi zangu.
Hali ilibadilika baada ya kuingia chuo kikuu. Nikaanza kuwa muhuni na kuwa top cheater nikitumia mbinu zufuatazo
I) Kuandika mkononi au kwenye shati formula mbalimbali.
2) Kuweka daftari la kozi husika toilet na katikati ya mtihani naomba ruhusa ya kwenda toilet kumbe naenda kuangalia majibu ya maswali yaliyonishinda
Je, wewe ushawahi kutumia umafia gani kufaulu kwenye elimu yako?
Daktari sasa itakuaje nikija kutibiwa na ulidesa paper[emoji23][emoji23]aisee kuna kikaka kilikuwa kinanipenda pale MUHAS alikuwa anaingia na simu afu mimi nakaa nyuma yake akimalz pepa ananipasia aisee popote ulipo japhet Ubarikiwe