Ushawahi panda gari za kusafirisha magazeti ?

Ushawahi panda gari za kusafirisha magazeti ?

Sensei Tai

Senior Member
Joined
May 26, 2022
Posts
168
Reaction score
466
Aiseee zile gari acha kabisa

Yani kabla hujakaa tayari upo Kibaha mana Dar - Moro ni lisaa tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kupanda zile gari inahitaji uwe na roho ya paka πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Sishauri kabisa wanawake kupanda zile gari mana sisi wanaume tu tunapanda kwa dharura

Embu tupe uzoefu wako mara ya kwanza kupanda zile gari ulijiskiaje
 
Hizo gari nazitamani ajabu, nimechoka kuhadithiwa, I like speed like nobody's business..!

Hapa natamani nipande zile racing cars nahisi huwa wana enjoy wazee wa F1..!πŸ˜”
 
Kwan huwa wanatumia gari za aina gan?
Ist, kluger, hiace, au? Maana licha ya mwendo mkali Ila sijawah kusikia ajali zinazohusu izo gari za magazeti.
 
Back
Top Bottom