Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hahaaaaaaa.....teh teh tehh...Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
Na Dada anajibu... Mtoto amelala!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Hahaaaaaaa.....teh teh tehh...
Hapo na Maza naye anamwambia dada: Hivi we hapy mbona darini kuna buibui wengi sana?
😀😀😀😀
Mtoto kumbe nae yupo anaitika "naam Dada"Na Dada anajibu... Mtoto amelala!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
Kali miaka iliyopitaHii inanikumbusha mwaka 2001 nikiwa naishi na mjomba. Ilitokea scene kama hii wakati familia nzima tunatizama movie, jamaa alikuwa chumbani anaoga, mkewe akaingia chumbani ghafla na kumdandia jamaa huku akiwa kabaki na kachupi. Mjomba akajichanganya na kuanza kumuuliza house girl....We Neema ile chupi uliifua? Kila mtu mezani kimyaaa, sooo likaenda chumbani na Neema akarudishwa kwao asubuhi yake.
HaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMtoto kumbe nae yupo anaitika "naam Dada"
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
nimecheka hadi wa pembeni yangu kastuka na kuniulza nkamwambia naye akacheka sanaa.Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]