Ushawahi?

Ushawahi?

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,252
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
 
Hahaaaaaaa.....teh teh tehh...
Hapo na Maza naye anamwambia dada: Hivi we hapy mbona darini kuna buibui wengi sana?
😀😀😀😀
 
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]

Hii inanikumbusha mwaka 2001 nikiwa naishi na mjomba. Ilitokea scene kama hii wakati familia nzima tunatizama movie, jamaa alikuwa chumbani anaoga, mkewe akaingia chumbani ghafla na kumdandia jamaa huku akiwa kabaki na kachupi. Mjomba akajichanganya na kuanza kumuuliza house girl....We Neema ile chupi uliifua? Kila mtu mezani kimyaaa, sooo likaenda chumbani na Neema akarudishwa kwao asubuhi yake.
 
Kali miaka iliyopita
 
Naona baba aeza sahau akamwambia mama unipe kama ile umesikia
 
Mambo ya kurushiana nyimbo kwa Bluetooth nimechoka kumsikilizisha kila ngoma ili achague aipendayo nikampa cm achague mwenyewe, kumbe nimechanganya na XX ile nampa tu kupress in bonge la inye wote tulibaki kimyaa alikuwa mke wa mjomba
 
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]

Hapana mkuu,Haijawahi kunitokea.

Jambo la msingi la wewe kuelewa ni maelezo ya kina juu ya Muvi fulani,Mara nyingi muvi hususan za kimagharibi wanaweka angalizo kuwa wahusika ni kina nani.Nikishaona P.G (Parental guidance),+18 nk basi siwezi kuitizama na wazazi.Mdogo mdogo huyooo naondoka zangu.Ila muvi za hapa nchini ndiyo hawaweki angalizo na hata siku moja siwezi kuitizama na wazazi.

Suala kama hilo likinitokea,najiona kama mimi ndiye nawakosea wazazi na siyo muvi ndiyo mbaya.Tujitahidi kuwa makini na angalizo/precaution katika muvi kabla ya kuitizama na wazazi wako,wanao pamoja na watu mnaoheshimiana.
 
Ushawahi kuwa nyumbani na wazazi mnaangalia movie halafu ghafla inatokea sex scene watu wanapigana mabusu wanarushana kitandani... Dingi anapagawa Ile kuua soo anakuuliza "John Ushapiga pasi GARI...!!!"
Nawe ulivyochanganyikiwa unajibu
"Umeme umekatika mzee..."
[emoji3] [emoji13] [emoji13] [emoji14] [emoji14] [emoji12] [emoji12]
nimecheka hadi wa pembeni yangu kastuka na kuniulza nkamwambia naye akacheka sanaa.
 
Back
Top Bottom