Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]umenikumbusha mbali ngoja ninyamaze tu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sio Tanzania, nkiwa china --- wakaleta kitu mfano wa kono kono ... etc
Nikaondoka kimya kimyaa nkaenda supermarket and kukamata mkate na chupa moja la red wine nkajilalia
Utacheka sana hautaamini nakwambia[emoji23][emoji23][emoji23] embu lete yako hapa
Utacheka sana hautaamini nakwambia
🤣🤣🤣🤣🤣 Pia hawa watu vyakula vyao vinatoa harufu.Sio Tanzania, nkiwa china --- wakaleta kitu mfano wa kono kono ... etc
nkaondoka kimya kimyaa nkaenda supermarket and kukamata mkate na chupa moja la red wine nkajilalia
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pia hawa watu vyakula vyao vinatoa harufu..
siku nilizokuwa huko ni wali maharage samak, plus asubui kuna restaurant 1 mtz alikuwa anapika chapati na maini vizuri kama upo home.
Weeee 🤣🤣🤣🤣, tumbo langu liko very sensitive shida sitaki.Kaka umeshindwa kabisa kulaa zile tambi zao na supu zilivyo tamu
Weeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], tumbo langu liko very sensitive shida sitaki.
Mimi hapana, nadhan ndio sehem niliyoenda nikashindwa kwenda na tamaduni zao.[emoji23][emoji23][emoji23] Mimi napenda tambi zao na supu ila vijiti kutumia vimenishinda
Yamenikuta asubui pale Moevoke ubungo,sijui ndio pameandikwa hivyo.ila ni hotel fulan ipo Ubungo Maziwa .
Mfukoni nipo na ef12 , nipo na mtoto mzuri nikaona ngoja tupate supu kidogo...
Mimi hapana, nadhan ndio sehem niliyoenda nikashindwa kwenda na tamaduni zao.
Tajiriii Mwachiluwi[emoji23][emoji23][emoji23] pole na penda ata wanavyo cheza vile nilienda kwenye maonesho ya mazingaombwe na mwanasesele wakiwa wanacheza dah nili injoy sana
Nitajitahid🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23] pole na penda ata wanavyo cheza vile nilienda kwenye maonesho ya mazingaombwe na mwanasesele wakiwa wanacheza dah nili injoy sana
Tajiriii Mwachiluwi
Upo China bado au ushaludi?Nitajitahid[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]