Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Juzi nilienda kkoo nikawa na njaa nikaingia sehem fulan kula sasa chakula kilichopo pale nilichokielewa mimi ni ugali nyama choma.
Kwakuwa ndo chakula changu pendwa mchana huwa nakula ugali nyama choma kwa 3500 mitaa yangu ya job.
sasa pale nikaagiza bila kuuliza bei nimekula nikatoa ten nikarudishiwa buku jero nilishtuka ila nikakausha