Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Ushawai kukosea kuagiza menu ya chakula au kinywaji?

Juzi nilienda kkoo nikawa na njaa nikaingia sehem fulan kula sasa chakula kilichopo pale nilichokielewa mimi ni ugali nyama choma.

Kwakuwa ndo chakula changu pendwa mchana huwa nakula ugali nyama choma kwa 3500 mitaa yangu ya job.

sasa pale nikaagiza bila kuuliza bei nimekula nikatoa ten nikarudishiwa buku jero nilishtuka ila nikakausha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe uliendaje hoteli na 12000 kuna sehemu zingine supu 10000 chapat moja buku kuwa makini [emoji23][emoji23][emoji23] kuja posta pale ukiwa na njaa morng ili ushibe vizuri 10000 inaisha chapata buku mbili chai ya rangi buku au jero maziwa 2000 mayai
Buku soseji buku sambusa jero dah [emoji23][emoji23][emoji23]
Si nishazoea maeneo hayo aroud ni kawaida tu .nikajua basi bae zetu ni buku 2 hadi buku 3.kumbe nmejiponza bana
 
Juzi nilienda kkoo nikawa na njaa nikaingia sehm fulan kula sasa chakula kilichopo pale nilichokielewa mimi ni ugali nyama choma.

Kwakua ndo chakula changu pendwa mchana huwa nakula ugali nyama choma kwa 3500 mitaa yangu ya job.

sasa pale nikaagiza bila kuuliza bei nimekula nikatoa ten nikarudishiwa buku jero nilishtuka ila nikakausha

[emoji23][emoji23][emoji23] uliza bei kwaza mzee je asingekuludishia chenji [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aha kumbe ukiludi tena china jaribu kula supu yao ina test mzuri sana mimi sitaki kujua wanachanganya na nini?[emoji23][emoji23][emoji23]
No thank you!! Kama naweza pita street nikabana pumz nisisikia harufu yao hayo machakula yao ndio nitaweza hizo supu.

Hapana tena noo🤣🤣🤣🤣🤣
 
No thank you!! Kama naweza pita street nikabana pumz nisisikia harufu yao hayo machakula yao ndio nitaweza hizo supu.
Hapana tena noo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

[emoji23][emoji23][emoji23] ase Shanghai huko ukienda kwa wewe utainjoy japo vitu naona ni gharama san
 
[emoji23][emoji23][emoji23] uliza bei kwaza mzee je asingekuludishia chenji [emoji23][emoji23][emoji23]
Ninapoingia sehem kwa mara ya kwanza kula huwa siulizi bei naona aibu sijui kwann!!

huwa natoa tu elfu 10 baada ya kumaliza kula akishanipa chenchi ndo namuliza bei ni kiasi fulan ? anasema ndio basi kishingo upande
 
Hahahha ebu tuendelee kipenzi
Kwenye menu nikaona sijui ni chakula gani dada wameandika served with ring onion mie nikaagiza😀😀😀😀

Ukaja sijui ni kama mtori wa makaroni imagine alafu eti na vitunguu pemben vimetiwa unga kama kuku wa KFC vikakaangwa 😀😀😀😀

Siji kusahau 😀😀😀😀ambavyo siyapendi hayo makaroni date ilikua chungu sana

Since hapo naita muhudumu namuuuliza hii ni nini before kuagiza
 
Mwenye Uzi unatupiga kamba yaani sehemu yako pendwa unaomba menu? We itakuwa mara ya kwanza kufika hapo
Wengine tukifika sehemu zetu pendwa wahidumu wanajua kabisa tunakunywa nini.
 
Back
Top Bottom