Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Pamoja na kuwa waislam wengi wanatabia kama hizi za kuonea watu.Dah hii video nyengine, Dogo anaefanya kazi kwenye resta za first food akinyanyaswa.
View attachment 2548585
Hiki si kitendo kizuri kabisa kuumizana kiasi hiki,tukikemee sana.