Hivi Ninyi Watu Mnajua Ninacho kiongea Au vipi Ninyi Mijitu.Fikiria kwanza ndiyo Uweze ku comment.Mnapayuka payuka tuu hata Kufika kwenyewe huku kwenye hizi mbuga hamjawahi hata siku moja.N
Nimesema kuwa Barabara Ni Mbovu sana hata hizi crueser tunazo zitumia kupeleka watalii huku zinaharibika kwa sababu Miundombinu ni Mibovu.Serekali Inafumbia Macho hii Barabara na kitakachokuja kutokea hutakuja Kuniamini Nini Niachosema.
Wewe unasema kiswahili chenyewe sikijui.Kwani wewe Umeelewaje Nilivyo comment.
Mimi Ni Mdau mkubwa sana wa hii Barabara.Siyo Mnakuja hapa alafu ujua ni Nini Ninacho kuzungumza.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app