Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Ndiyo Mdafu.Huku kwenyewe hata kufika shida.
Utalii nchini TANZANIA unakuwa kwa speed ya juu. Nakutapo kamilika ujenzi wa viwanja vya ndege pamoja naujio wa CS300 Series mbili, Boeing 787-8 dreamliner pamoja na Bombardier tutegemee maajabu zaidi. Jewajua muhasibu mkuu wa Air Tanzania ndoalikuwa muhasibu wa Rwanda Air.? Ahsante MagufuliView attachment 539058
Mkuu kulikuwa na haja gani huu uzi kuuweka jukwaa hili? mbona hakuna mahusiano yoyote ya huu uzi na jukwaa ulipo? tujitahidi kutumia vitu kwa usahihiUtalii nchini TANZANIA unakuwa kwa speed ya juu. Nakutapo kamilika ujenzi wa viwanja vya ndege pamoja naujio wa CS300 Series mbili, Boeing 787-8 dreamliner pamoja na Bombardier tutegemee maajabu zaidi. Jewajua muhasibu mkuu wa Air Tanzania ndoalikuwa muhasibu wa Rwanda Air.? Ahsante MagufuliView attachment 539058
Ndugu hizo barabara huwa zinaachwa hivyo maksudi; ili mtu ujiskie kweli uko in the wild (adventure)Barabara yenyewe Haifai.Imeoza.Nashangaa Wizara Inakaa Kimya.Hakuna kutengeneza Barabara.Haibu kubwa hii sijui Mtapeleka wapi
Hivi Ninyi Watu Mnajua Ninacho kiongea Au vipi Ninyi Mijitu.Fikiria kwanza ndiyo Uweze ku comment.Mnapayuka payuka tuu hata Kufika kwenyewe huku kwenye hizi mbuga hamjawahi hata siku moja.N
Nimesema kuwa Barabara Ni Mbovu sana hata hizi crueser tunazo zitumia kupeleka watalii huku zinaharibika kwa sababu Miundombinu ni Mibovu.Serekali Inafumbia Macho hii Barabara na kitakachokuja kutokea hutakuja Kuniamini Nini Niachosema.
Wewe unasema kiswahili chenyewe sikijui.Kwani wewe Umeelewaje Nilivyo comment.
Mimi Ni Mdau mkubwa sana wa hii Barabara.Siyo Mnakuja hapa alafu ujua ni Nini Ninacho kuzungumza.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Hauwezi kujenga lami kwenye National Park labda wapitishe tu grader kurepea lakini kitendo cha kumimina lami wataalam wa hifadhi ya nature hawaruhusu na ndio maana ya adventure.Wewe Ndiyo Mdafu.Huku kwenyewe hata kufika shida.Mdau ndiyo Maana nime comment.Inanihusu.Sasa wewe kwikiwikiwkiiw na povu linakutoka Mada yewenye hata haikuhsu.Kama vitu hamjui wacha kucomment.Kaa Pembeni wewee
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app