Utalii nchini TANZANIA unakuwa kwa speed ya juu. Nakutapo kamilika ujenzi wa viwanja vya ndege pamoja naujuio wa CS300 Series mbili, Boeing 787-8 dreamliner pamoja na Bombardier tutegemee maajabu zaidi. Jewajua muhasibu mkuu wa Air Tanzania ndoalikuwa muhasibu wa Rwanda Air.? Ahsante MagufuliView attachment 539058
Mbona kafika mpaka jamii forum
Unaua wakenya.Utalii nchini TANZANIA unakuwa kwa speed ya juu. Nakutapo kamilika ujenzi wa viwanja vya ndege pamoja naujio wa CS300 Series mbili, Boeing 787-8 dreamliner pamoja na Bombardier tutegemee maajabu zaidi. Jewajua muhasibu mkuu wa Air Tanzania ndoalikuwa muhasibu wa Rwanda Air.? Ahsante MagufuliView attachment 539058
Kama nawaona vile wanaandika wakifika mwisho wanafuta ,wanaandika wakifika mwisho wana edit,ni huruma kwakweli hata siye wenyewe hatupendi ila ndio ivyo watuvumilie,hapa kazi tuu...Unaua wakenya.
Haibu ndio kitu gani. Jifunze kwanza kiswahili ndio uje kutoa comments zako za kitoto.Barabara yenyewe Haifai.Imeoza.Nashangaa Wizara Inakaa Kimya.Hakuna kutengeneza Barabara.Haibu kubwa hii sijui Mtapeleka wapi
Mkuu usiwe mshamba uwezikujenga Barabara ya rami kwenye mbuga. Wanyama hawatembei kwenye rami wanafuatwa mbugani. Pia Barabara ya rami inasababisha ajari ndo maana Barabara ya mikumi wamewahi itaka kuifunga. Do research first my friend. Wanyama awatembei kwenye rami bali ndani vichakani ndomaa magari yote ya utalii yana 4 wheel drive nayapo juu. Pia spear tyre mbili hadi tatu. Tank ya mafuta mbili.Barabara yenyewe Haifai.Imeoza.Nashangaa Wizara Inakaa Kimya.Hakuna kutengeneza Barabara.Haibu kubwa hii sijui Mtapeleka wapi
Mkuu usiwe mshamba uwezikujenga Barabara ya rami kwenye mbuga. Wanyama hawatembei kwenye rami wanafuatwa mbugani. Pia Barabara ya rami inasababisha ajari ndo maana Barabara ya mikumi wamewahi itaka kuifunga. Do research first my friend. Wanyama awatembei kwenye rami bali ndani vichakani ndomaa magari yote ya utalii yana 4 wheel drive nayapo juu. Pia spear tyre mbili hadi tatu. Tank ya mafuta mbili.
Sasa wewe bwana mdau umejenga barabara gani? Mr Mushi vipi mbona povu kubwa hivyo. Kiswahili hujui halafu unajiita mdau. Mdau au mdafu!!! Kwikwikwikwikwi.Hivi Ninyi Watu Mnajua Ninacho kiongea Au vipi Ninyi Mijitu.Fikiria kwanza ndiyo Uweze ku comment.Mnapayuka payuka tuu hata Kufika kwenyewe huku kwenye hizi mbuga hamjawahi hata siku moja.N
Nimesema kuwa Barabara Ni Mbovu sana hata hizi crueser tunazo zitumia kupeleka watalii huku zinaharibika kwa sababu Miundombinu ni Mibovu.Serekali Inafumbia Macho hii Barabara na kitakachokuja kutokea hutakuja Kuniamini Nini Niachosema.
Wewe unasema kiswahili chenyewe sikijui.Kwani wewe Umeelewaje Nilivyo comment.
Mimi Ni Mdau mkubwa sana wa hii Barabara.Siyo Mnakuja hapa alafu ujua ni Nini Ninacho kuzungumza.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Sasa unayejua umefanya nini!!? bwana mushi wewe ni mdau wa nini? Mdau wa utalii au mdau wa barabara? Hueleweki jieleze tukuelewe.Wewe Ndiyo Mdafu.Huku kwenyewe hata kufika shida.Mdau ndiyo Maana nime comment.Inanihusu.Sasa wewe kwikiwikiwkiiw na povu linakutoka Mada yewenye hata haikuhsu.Kama vitu hamjui wacha kucomment.Kaa Pembeni wewee
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Siyo kila kitu kupinga tu. Utaugua kufafa.Haya Bwana wee kalale sasa Bwana Raymond.
Sent from my SM-N900 using JamiiForums mobile app
Taratibu kidogoBarabara yenyewe Haifai.Imeoza.Nashangaa Wizara Inakaa Kimya.Hakuna kutengeneza Barabara.Haibu kubwa hii sijui Mtapeleka wapi