Usher Raymond kutalii nchini Tanzania pamoja na familia yake. Utalii unakuwa kwa speed ya 4G nchini

Wewe Ndiyo Mdafu.Huku kwenyewe hata kufika shida.

Mr Mushi ni wapi huko ambako kufika ni shida? Halafu hebu ainisha hiyo barabara ni mbovu kiaje,

A person who says something is impossible should not interrupt the person who is doing it.
 
Mkuu kulikuwa na haja gani huu uzi kuuweka jukwaa hili? mbona hakuna mahusiano yoyote ya huu uzi na jukwaa ulipo? tujitahidi kutumia vitu kwa usahihi
 
Barabara yenyewe Haifai.Imeoza.Nashangaa Wizara Inakaa Kimya.Hakuna kutengeneza Barabara.Haibu kubwa hii sijui Mtapeleka wapi
Ndugu hizo barabara huwa zinaachwa hivyo maksudi; ili mtu ujiskie kweli uko in the wild (adventure)
 
Ni mbuga gani umewahi tembelea mkubwa. Mimi mbuga zote kubwa nimetembelea zinamfumo wa barabara nzuri tu. Wewe unaongea usichojua
 
Jamaa wa kungoja Angelina Jolie aletwe kwa msaada wa UNHCR roho inawakereketa hapa..

Sent from my SM-J320F using JamiiForums mobile app
 
Hauwezi kujenga lami kwenye National Park labda wapitishe tu grader kurepea lakini kitendo cha kumimina lami wataalam wa hifadhi ya nature hawaruhusu na ndio maana ya adventure.

Ni sawa na kusema Mount kilimanjaro kuwekwe madaraja na miundombinu rahisi sababu kupanda mlima kuna obstacles nyingi kitu ambacho ni kituko sasa sababu hautakua mlima tena.
 
Nyang'aus you should eat this though it is bitter no way round.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…