Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

Wala chips bhana
 
Ujuwe sijawahi kuona sehemu ya kuuzia Tai. Hapa Dodoma mjini ikitokea kijana akaitazama hii fursa kwa jicho kama langu hakika ninaamini ataweza kuingiza faida isio pungufu ya 10 elfu per day.
Kwanza nisema kwamba sisi wanaume ni wavivu sana (sio wote) wa kubadilisha Tai, lakini wanaume wengi in town kazi zao zinawalazimisha kuvaa Tai. Lakini wanaume haohao ukiwasogezea Tai tena ambazo tayari zimefungwa, ni wepesi sana wa kuzinunua.
Kwamfano, kijana akiamua kunua Tai za mtumba tena za grade 1, nina hakika haziwezi zika zidi shilingi 1 elfu kwa kila kipande.
Kisha ukizifua Tai hizo vyema na ukazinyoosha kwa pasi vizuri na kisha ukazifunga vyema kila moja ikavutia, nina hakika kila kipande cha Tai utauza kwa shilingi isiyo pungua 5 elfu.
Na ili kijana afanye biashara yake vizuri, basi hapa nina shauri kijana atengeneze metal skeleton iliyo nadhifu na kisha zipange pale bidhaa zako.

Hii biashara inahitaji mtaji mdogo sana usio zidi 300 elfu.
 
Wala chips bhana
Mkuu, fungua roho na uliza swali popote penye hauja elewa.
Wazo la vyepe tayari nimeweka hapo juu.
Hapa leo nimejikita kwenye maelekezo ya wazo na location za biashara ndogo zilizo batizwa jina la ujasiriamali na kitambulisho cha Magufuli kwa 20 elfu fedha halali ya kitanzania.
 
Najua mleta uzi kasema anapiga vant lakini mbona kama na mimi siwezi kusoma hizi namba au mimi ndo nimelewa
 
Ni Vant inaongea au Ushimen?🤣🤣
 
Najua mleta uzi kasema anapiga vant lakini mbona kama na mimi siwezi kusoma hizi namba au mimi ndo nimelewa
Mkuu, kwani uliwahi kuona gari likienda bila mafuta...!!??[emoji23][emoji23]
Na mbona nimeandika kwa lugha ya kiswahili mujarab kabisa....
By the way, nimeamuwa kuwatafunia ili wameze vijana wote ambao hawajui nini wafanye baada ya kukaa kitaa pasipo kuajiriwa.
 
Ipo siku nitakuja nitoe somo ambalo watu wengi hawalielewi.
Na labda kidogo tu nikukumbushe kwamba Ushimen ni kitu kinacho ongozwa na mimi.
Kwa hivyo kuna tofauti kubwa kati ya Mimi na Ushimen
Sijui kama utanielewa vyema mkuu

Nimekuelewa Mkuu. Nisalimie Ushirombo. 🤣
 
Asante kwa kututafunia chief ila kuna sehemu umeandika elfu 300,000. Sehemu nyingine umeandika elfu 400,000.

Mafuta yakizidi gari linakua na power hadi linazidisha kilometa.
 
Kesho napita kuangalia mazingira mkuu wapi nitaweka business yangu, Asante sana
Wiki lililo pita nilikuwa natokea Kahama, nimeingia Dom muda wa jioni, pitapita zangu za mitaa fulani nikaona kuna vihela vya "kuokota okota" hasa kwa kutumia vihepe.
Mzee wa liver nilimkosa,mwezi ujao narudi huko kwa ajili ya maandalizi ya kambi
 
Nimekuelewa Mkuu. Nisalimie Ushirombo. [emoji1787]
Wataitika mkuu, saivi nipo Lyambamgongo hapa naelekea Ilyamchele, huko Kashelo ndanndani...[emoji23][emoji23]
 
Wiki lililo pita nilikuwa natokea Kahama, nimeingia Dom muda wa jioni, pitapita zangu za mitaa fulani nikaona kuna vihela vya "kuokota okota" hasa kwa kutumia vihepe.
Mzee wa liver nilimkosa,mwezi ujao narudi huko kwa ajili ya maandalizi ya kambi
Karibu kwenye kiape uniungishe mwanzo mgumu
 
Asante kwa kututafunia chief ila kuna sehemu umeandika elfu 300,000. Sehemu nyingine umeandika elfu 400,000.

Mafuta yakizidi gari linakua na power hadi linazidisha kilometa.
Kabisa mkuu, hayo ni makosa madogo yenye marekebisho kama ulivyo nikumbusha.
Ahsante sana chief, tayari nimefanya mabadiliko
 
Kabisa mkuu, hayo ni makosa madogo yenye marekebisho kama ulivyo nikumbusha.
Ahsante sana chief, tayari nimefanya mabadiliko
At one point nikafikiri unaandika kwa codes
 
At one point nikafikiri unaandika kwa codes
Hapana chief, nimejikuta tu naamuwa kufukiria badala ya wengine na kisha naweka hapa jukwaani kwa uwazi kabisa ili na wengine waweze kujikwamua.
Mkuu, ukitaka hata nikuambie wapi unaweza/panafaa kuweka biashara aina gani, nipo tayari pia
 
Ni taasisi gani za kifedha zinaweza kukopesha ila kwa collateral ambayo inahimilika kwa kijana ambaye yupo mtaani bila kua na mali kama ardhi, nyumba, shamba, gari n.k.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…