Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,194
Kesho napita kuangalia mazingira mkuu wapi nitaweka business yangu, Asante sanaFanya hivyo mkuu, tena ikikupendeza kesho upite kwa miguu na ukiwa kidogo umechangamsha macho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho napita kuangalia mazingira mkuu wapi nitaweka business yangu, Asante sanaFanya hivyo mkuu, tena ikikupendeza kesho upite kwa miguu na ukiwa kidogo umechangamsha macho.
Ameen 🙏🙏Na Mungu akubariki sana
Wala chips bhanaPole na hongereni kwa kuwa wenye afya njema. Na kwapamoja tuwaombee wale wote ambao wakati kama huu hawana nafasi ya kusoma haya tuliopata pumzi ya bure na tukayasikia, kuona, kusoma na kuchangia.
Kwakuwa Mungu wetu ni mwema, basi yote kwake ni mema pia.
1. Ungekua Dom ningekupa wazo/location ya biashara ya chipsi dume, na ninahakika hapa ungeweza kupata faida isiyo punguwa 10 elfu per day, kwa mtaji usio zidi elfu 300,000.
2. Pia ningeweza kukupa wazo/location ya biashara ya majeneza ambapo ungeweza pata faida isiyo punguwa 100 elfu kwa kila wiki kwa mtaji usio zidi elfu 1,200.
3. Na ningekupa wazo/location yenye ungefanya biashara ya matunda kwa mtaji usio zidi 400,000 kwa kupata faida isiyo punguwa 12 elfu daily.
4. Alafu ninge kupa wazo/locations kadhaa ya kufanya biashara ya shoe shine/kusafisha viatu kwa mtaji usio zidi 100 elfu na ukapata faida isiyo punguwa 5 elfu kila kukicha.
Ebu ngoja nimalizie kwanza hii whatever-Vant, then kesho nitakuja na mawazo mengine kwenye muendelezo.
Mkuu, fungua roho na uliza swali popote penye hauja elewa.Wala chips bhana
Pole na hongereni kwa kuwa wenye afya njema. Na kwapamoja tuwaombee wale wote ambao wakati kama huu hawana nafasi ya kusoma haya tuliopata pumzi ya bure na tukayasikia, kuona, kusoma na kuchangia.
Kwakuwa Mungu wetu ni mwema, basi yote kwake ni mema pia.
1. Ungekua Dom ningekupa wazo/location ya biashara ya chipsi dume, na ninahakika hapa ungeweza kupata faida isiyo punguwa 10 elfu per day, kwa mtaji usio zidi elfu 300,000.
2. Pia ningeweza kukupa wazo/location ya biashara ya majeneza ambapo ungeweza pata faida isiyo punguwa 100 elfu kwa kila wiki kwa mtaji usio zidi elfu 1,200.
3. Na ningekupa wazo/location yenye ungefanya biashara ya matunda kwa mtaji usio zidi 400,000 kwa kupata faida isiyo punguwa 12 elfu daily.
4. Alafu ninge kupa wazo/locations kadhaa ya kufanya biashara ya shoe shine/kusafisha viatu kwa mtaji usio zidi 100 elfu na ukapata faida isiyo punguwa 5 elfu kila kukicha.
Ebu ngoja nimalizie kwanza hii whatever-Vant, then kesho nitakuja na mawazo mengine kwenye muendelezo.
Mkuu, kwani uliwahi kuona gari likienda bila mafuta...!!??[emoji23][emoji23]Najua mleta uzi kasema anapiga vant lakini mbona kama na mimi siwezi kusoma hizi namba au mimi ndo nimelewa
Asante kwa kututafunia chief ila kuna sehemu umeandika elfu 300,000. Sehemu nyingine umeandika elfu 400,000.Mkuu, kwani uliwahi kuona gari likienda bila mafuta...!!??[emoji23][emoji23]
Na mbona nimeandika kwa lugha ya kiswahili mujarab kabisa....
By the way, nimeamuwa kuwatafunia ili wameze vijana wote ambao hawajui nini wafanye baada ya kukaa kitaa pasipo kuajiriwa.
Wiki lililo pita nilikuwa natokea Kahama, nimeingia Dom muda wa jioni, pitapita zangu za mitaa fulani nikaona kuna vihela vya "kuokota okota" hasa kwa kutumia vihepe.Kesho napita kuangalia mazingira mkuu wapi nitaweka business yangu, Asante sana
Karibu kwenye kiape uniungishe mwanzo mgumuWiki lililo pita nilikuwa natokea Kahama, nimeingia Dom muda wa jioni, pitapita zangu za mitaa fulani nikaona kuna vihela vya "kuokota okota" hasa kwa kutumia vihepe.
Mzee wa liver nilimkosa,mwezi ujao narudi huko kwa ajili ya maandalizi ya kambi
Kabisa mkuu, hayo ni makosa madogo yenye marekebisho kama ulivyo nikumbusha.Asante kwa kututafunia chief ila kuna sehemu umeandika elfu 300,000. Sehemu nyingine umeandika elfu 400,000.
Mafuta yakizidi gari linakua na power hadi linazidisha kilometa.
At one point nikafikiri unaandika kwa codesKabisa mkuu, hayo ni makosa madogo yenye marekebisho kama ulivyo nikumbusha.
Ahsante sana chief, tayari nimefanya mabadiliko
Hapana chief, nimejikuta tu naamuwa kufukiria badala ya wengine na kisha naweka hapa jukwaani kwa uwazi kabisa ili na wengine waweze kujikwamua.At one point nikafikiri unaandika kwa codes
Ugumu wa mwanzoni ndio ulaini wa mwishoni. Ongeza bidii, nikifika nitakutafuta.Karibu kwenye kiape uniungishe mwanzo mgumu
Ni taasisi gani za kifedha zinaweza kukopesha ila kwa collateral ambayo inahimilika kwa kijana ambaye yupo mtaani bila kua na mali kama ardhi, nyumba, shamba, gari n.k.Hapana chief, nimejikuta tu naamuwa kufukiria badala ya wengine na kisha naweka hapa jukwaani kwa uwazi kabisa ili na wengine waweze kujikwamua.
Mkuu, ukitaka hata nikuambie wapi unaweza/panafaa kuweka biashara aina gani, nipo tayari pia