Ushimen: Ebu ngoja leo niwape mawazo machache ya kujikwamua

Kwa biashara ya majeneza wap panafaa mkuu@ushimen
Mkuu, hii biashara utaiuza sana ikiwa utapata eneo la biashara pale mitaa ya MaKay, pembeni kidogo CRDB. Pale naamini utauza mzigo wa kutosha ikiwa utatengeneza bidhaa yenye kiwango na yauhakika.
Sababu kubwa ya kupendekeza eneo lile ni kwakuwa pale ni katikati ya General Hospital na Aghakan Hospital na St Camilius Hospital. Na pia pale ni katikati ya mji ambapo watu wengi hupita maeneo yale.

Mkuu, karibu sana Dodoma.....
 
Hahah,we ushimen ms.nge sanaa.nmecheka sana hapo mwisho...whatever-vant..hahaha.

Umenikumbusha jana nilikua na dem m1 tumetoka mahala kunywa,tunarud nyumban usiku ananambia nichkue K vant dukan,hawez lala bila hyo kitu..hahah
 
...............[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
😂 😂 😂 😂 😂 kuwa makini sana,michango yako kule jukwaa la siasa imesababisha wazee wa kitengo waingie kazini...mda si mrefu mtu anafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa

Kabisa mkuu..hawanipati katu!kwanza sina kiherwhere cha kukutan na watu wa jf!al
asañte kwa kunikunbusha
 
Ivi kule kwenye ule mradi rufiji naweza pata fursa nzuri pale
 
Ivi kule kwenye ule mradi rufiji naweza pata fursa nzuri pale
Duhhh....
Pole mkuu, huko sijawahi hata kufika.
Ebu tusubiri pengine wachangiaji watakuja waokowe jahazi hapa
 
#3, hiyo inaweza zidi zaidi ya hapo,,

Hapa mwanza kuna sehem huwa naenda mida ya jion kupata sahan moja ya matunda mix,, ni buku tu sahan moja,,

Aiseh anapiga pesa yule,,

[emoji19]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…