"Ushimen" hivi ndivyo nimeamua kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa

Naunga mkono hoja.

Pia kuna picha yake hivi jamaa kasimama shambani kavaa nguo fulani, japo siipendi ila nimeshaizoea asiiache.
Mkuu, hiyo picha nimekwisha acha rasmi kuitumia kwasababu kuna member kadhaa humu ndani wamekua hawapendezwi nayo asilani
 
Umejibu vizuri kabisa
3.Kwa mtu asiye ijua dodoma kabisa...unamuelezeaje kuhusu fursa zilizopo?can you mention them????

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu....
Fursa ni neno pana kidogo, na ukitaka nikuambie kuhusu fursa pengine nianze na kukuuliza swali kwamba.... unatamani kujua fursa za level ipi, na hasa nikimaanisha mtaji wa kuanzia piesa ngapi?
 
Hata mimi ile naipenda. Halafu hadi nilishahisi ni yeye.[emoji23][emoji23]

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
[emoji12] [emoji12]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mkuu....
Fursa ni neno pana kidogo, na ukitaka nikuambie kuhusu fursa pengine nianze na kukuuliza swali kwamba.... unatamani kujua fursa za level ipi, na hasa nikimaanisha mtaji wa kuanzia piesa ngapi?
Level ya chini kabisa,mtaji wa Mtu mwenye hali ya chini kabisa ,kwa mfano 500 k kma ulivyoelezea kwenye reply yako ile ya kwanza..zozote zilizopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My kaka japo nimechelewa ila i hope ilikuwa poa.

Ila my kaka kweli we noma[emoji134][emoji134][emoji134] 5okloku tofauti tofauti na hapo bado mbili umesema huna uhakika nazo[emoji134][emoji134]. Kweli wewe ndio umetimiza msemo wa ujana maji ya moto.
Msalamie wifi.
 
Level ya chini kabisa,mtaji wa Mtu mwenye hali ya chini kabisa ,kwa mfano 500 k kma ulivyoelezea kwenye reply yako ile ya kwanza..zozote zilizopo

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaijua Dodoma.....
1. Ukiwa na laki tano unaweza ukatengeneza kitoroli kizuri na kisafi kwaajili ya kuuza matunda. Hadi biashara itakupa faida kubwa ikiwa utapata location yenye mzunguko wa watu kwa wingi na ukaweka take away fruits...[emoji39] [emoji39]

2. Ukiwa na laki tano unaweza tazama location yenye ofisi za wastaarabu, hapo ukaanzisha kijiwe cha kukaanga mihogo na ukipafanya pakawa pasafi na maridadi, kisha ukaweka pia foil kwaajili ya kufungashia, usipo sahau pilipili ya kupika, ukwaju na chumvi..[emoji39] [emoji39]

3. Ukiwa na chini ya laki tano, unaweza ukafungua kijiwe cha kubrashi viatu, na pembeni ukauza sox pamoja na tai za wababa.

Nikiwa mkweli, binafsi nipo kwenye maandalizi ya kufungua mbili kati ya biashara hizo nilizo zitaja hapo juu.
Nitatafuta vijana wa kusimamia hizo shughuli na binafsi nitakuwepo walau kila siku kwa masaa matatu, kama sija safiri nje ya Dodoma.
Mkuu, honestly nimegundua kwamba hizi biashara ndogo zinalipa na hazina usumbufu na wenye nchi, na pia ni very lower risk. Pia zina uhakika wa kupata faida isio pungua 30 elfu daily.
 
Kwasasa nina small Mechanical Workshop jijini Dodoma, na pia ni Technical Supervisor kwenye one of the Rope Access Technology Company.
Pia nilijikuta nimekua dalali wa viwanja na mashamba mkoani Dodoma
Akiiii mdomo wangu umebaki waziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kidogo uniuzie geto la mtu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Labda nijibu kwa haraka kwamba nina pea tatu ya watoto tano, na sasa tunatarajia kupata mtoto wa sita ili tuwe tumetimiza nusu dazani...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Wifi wako yupo hapa ananisomea typing ninavyo kujibu...tehteehh
 
Akiiii mdomo wangu umebaki waziii[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Kidogo uniuzie geto la mtu[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Mh mjumbe, nilitarajia haraka ningekuona siku nilipo ruhusu maswali yeyote yanielekee, lakini tayari umesha chelewa...tehteehh [emoji12] [emoji12]
 
Mh mjumbe, nilitarajia haraka ningekuona siku nilipo ruhusu maswali yeyote yanielekee, lakini tayari umesha chelewa...tehteehh [emoji12] [emoji12]
Mh mjumbe ujenzi wa Nchi yetu ya viwanda umepamba moto huku, napata masaa machache sana kuingia humu ndio maana napitwa na mambo mengi...

Sio vibaya nimepata bandiko hili nikiwa njiani kuzurura viunga vya jukwaa hili, kwa haya niliyoyakuta natarajia kujifunza mengi na nina imani maswali niliyonayo yashaulizwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…