Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Hahaahaaaa.....
Nikweli kabisa chief, huu uzi ulinipa wakati mgumu sana kujibu maswali chokonozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka ulibadili hadi avatar, naadae ukarudisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaahaaaa.....
Nikweli kabisa chief, huu uzi ulinipa wakati mgumu sana kujibu maswali chokonozi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaahaaaa.......Nakumbuka ulibadili hadi avatar, naadae ukarudisha.
Ahsante kwa good wish mkuuHeri ya siku ya kuzaliwa Ushimen, Mungu akupe kila aina ya baraka na mafanikio
Sawa ndugu mjumbe. Zawadi nitatuma Posta Mpya.
Kweli siku hazigandi chiefDah...siku hazigandi...furahia siku yako bosi...hongera sana [emoji506][emoji1634]
Sent using Beretta ARX 160
Hahaahaaaa.......
Ahsante kwa kunikumbusha mh mjumbe, hii ya mapengo nilipata tuhuma nyingi kwamba inawafanya wanakosa usingizi kwa kutisha
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli mh mjumbe, nilipata maombi mengi zaidi ndipo nikaona nimrudishe kwao kabisa...teh[emoji23]Ndugu mjumbe nakumbuka, kabla ya siku hiyo ulikuwa unapenda kutuma picha ya jamaa ameshika jembe.
Yule jamaa nilikuwa simpendi, nashukuru yeye uliacha kabisa kumpost hapa.