Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]

Mh mjumbe kidogo niteguke mguu kisa kichwa uzi....
 
Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
[emoji3][emoji3] Ndio mboga ninayoipenda sana. Ila yakaangwe tu bila nyanya.
Kuchambua huwa namlipa muuzaji marambili ili anichambulie.
 
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]

Mh mjumbe kidogo niteguke mguu kisa kichwa uzi....
Mh mjumbe, ebu usiwe na mwazo mabaya tafadhali....teh[emoji28][emoji28]
 
Sasa pale inapobaki na mafuta yake yenyewe unafanya kama unaikaanga kwa kuigeuza geuza ili isiungue kwa kulia ugali bomba sana Mkuu.

Hiyo ni beef iliyo chemchwa na ikaivya hadi ikaanza kama kujikaanga na mafuta yake yenyewe, kisha nikaiweka kwenye jokofu.
 
[emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23][emoji6][emoji23][emoji23]

Mh mjumbe kidogo niteguke mguu kisa kichwa uzi....
Mh mjumbe, ebu usimtumikie shetani kwa bidii hivyo....[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Sasa pale inapobaki na mafuta yake yenyewe unafanya kama unaikaanga kwa kuigeuza geuza ili isiungue kwa kulia ugali bomba sana Mkuu.
Comrade, naona ulicho kiandika ni kama mthamiati kwa wanaume wa Dar....[emoji28][emoji28]
Kuna mmoja aliuliza kama eti kuna kitu ameona kama kinafanana na kokoto za ujenzi...teh
 
Reactions: BAK
😂😂😂😂😂😂wamejibweteka sana hao. Nafurahia kwamba naweza kuingia jikoni nikatengeneza msosi wangu wa uhakika na kuufurahia.

Comrade, naona ulicho kiandika ni kama mthamiati kwa wanaume wa Dar....[emoji28][emoji28]
Kuna mmoja aliuliza kama eti kuna kitu ameona kama kinafanana na kokoto za ujenzi...teh
 
Kweli aiseeeee🙈🙈🙈🙈🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…