Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya
losso na suruali za
dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658