Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani umekula, umemaliza, unaosha vyombo ndio unatuambia, ACHA UCHOYO BOYA WEWEKuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658