Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Mkuu Ushimen ntake radhi mana nilitalajia lishoo moja matata sana ma clip ya kushanta, mapicha kama yote, kumbe[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji1762][emoji1762][emoji1762][emoji1762]
Nimemaliza hadi nikasafisha vyombo...teh[emoji28][emoji28]
 

Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
 
Asante kwa pongezi zako chief.
I wish ningekukaribisha, lakini ndio hivyo nimebonyeza ndonga yote hadi vyombo nikaosha kibabe....teh[emoji23][emoji23]
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚vitajuana na kuchambuana vyenyewe huko huko tumboni
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wale wa chips yai chakula hiki wangeishia ICU [emoji12][emoji12][emoji12]
Please chief, spare my rib's..... [emoji28][emoji28]
 
Reactions: BAK
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚vitajuana na kuchambuana vyenyewe huko huko tumboni
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Mradi viive enough kulika...mengine tukutane tumboni πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hahahhahaha unakuwaga unakimbilia wapi?
Raha ya tembere miti yake[emoji23][emoji23]

Vinakuwa vingi sana asee hata kuchambua tabu πŸ˜πŸ˜…

Hapo unakuta zimeletwa fungu tatu na muuzaji na kimbele mbele anatoa na nyongeza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…