Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,517
- 9,762
Hilo tembele nalikumbuka sana enzi niko gheto hafu nasoma UDSMKuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658
Mm napenda sana ugali uwe na mboga zake lakini kama hivyo za ushimen
Kwa kweli hata mimi sikua mbali na mawazo yako ikabidi nijiridhishe kwanza kama nipo jukwaa la wakubwa au chit chat kabla ya kufungua uzi!Sio mawazo mabaya bwana mdakachozi ebu niambie ww ulifikiliaje et
Umesahau na dagaa bwanaNaam hapo ndiyo ugali unanoga bila mboga ya majani au bamia haunogi halafu samaki wa kukaanga au nyama/kuku (kienyeji) choma na kachumbari weeeeee!
Hahhha umeona sasa kwani jlw upo mbona sijawahi kukuona lakini mdakachoziKwa kweli hata mimi sikua mbali na mawazo yako ikabidi nijiridhishe kwanza kama nipo jukwaa la wakubwa au chit chat kabla ya kufungua uzi!
Umesahau na dagaa bwana
Acha kabisa BAK kwenye kuchanganya hapo usisahau nyanya chungu na bamiaSorry dagaa pia halafu kuna dagaa wa kuchanganya na tembele pia
Dah...senzy wewe....nimekuja kwa kasi ya mwanga nikitegemea kukuta "amba lut" nyingine .. Dah[emoji35][emoji35][emoji35]
Acha kabisa BAK kwenye kuchanganya hapo usisahau nyanya chungu na bamia
HahahahaHahhha umeona sasa kwani jlw upo mbona sijawahi kukuona lakini mdakachozi
Hii utajamba sana aiseeDiet [emoji1783]View attachment 1152703
Nimekuwa adimu sijui sababu uzee jamaniHahahaha
Nipo kule ila napitaga kimya kimya!naona hata wewe pia siku hizi umekua adimu sana pande zile!
Hahahah mkali kiduchu tuWeyeeee unaanza kunitamanisha sasa. Kumbe na weye mkali kwenye haya mambo ya tumbo eh! Napenda sana nyanya chungu.
Nikajua vumbi la Congo limehusika[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658
Hahahah mkali kiduchu tu
Nimekuwa adimu sijui sababu uzee jamani
Basi nitakuja kukuunga mkono kwenye story kule!Nimekuwa adimu sijui sababu uzee jamani