Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muombe mungu akuepushe na mawazo mabaya mkuu....
Safi sana mkuu, nilidhani ni mimi mwanaume pekee wa jf ninae pikaga...[emoji23][emoji23]
Hahaha na matembeleUnakutana na mambo ya sembe
Hapana kaka umenichanganya ujue nilivyotegemea sivyo kabisaDaake binam, ebu punguza kimuhe muhe.
Uambie mdomo koma....[emoji23][emoji23]
Anaitwa nani vile ???Ataitika chief...
Ingawa namuona ona kwa mbaali anapita hapa
Muonekano wa hiyo mboga kweli umefundishwa kupika na unajua kupika. Big up!Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658