Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

IMG_8143.JPG


Hapa nikiwa katika maandlizi ya kisamvu changu, baada ya hapa ni bierre
 
Mbona ugari kama mbichi vile au macho yangu?[emoji41][emoji41][emoji13]
Sifa tele zimuendee Bi mkubwa kwa kitendo chake cha kunilazimusha sikuzile kupika, tena kwa kutumia kuni na juani...
 
Mimi huingia jikoni hata akiwepo wife. Zikinipanda kichwani tu
Well done brother....
Na hakika hii ni moja kati ya namna nyingi sana za kuwafanya hawa viumbe wajiskie furaha sana haki....
 
Nimekuja mbio nikidhani show show, kumbe ugali wa sembe, sasa kiugali kidogo iko mwanaume unajisifu umekula
 
Kwa
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658
Muonekano wa hiyo mboga kweli umefundishwa kupika na unajua kupika. Big up!
 
Back
Top Bottom