Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Mkuu Ushimen ntake radhi mana nilitalajia lishoo moja matata sana ma clip ya kushanta, mapicha kama yote, kumbe[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji1762][emoji1762][emoji1762][emoji1762]
Nimemaliza hadi nikasafisha vyombo...teh[emoji28][emoji28]
 
Nilivyosoma "nilivyopiga show ya kibabe" nikashtuka nikajua mambo ya Zero IQ.

Hongera mkuu umejitahidi sana ila nina mashaka kama hilo tembere umeweza kulichambua. Itakuwa umepika na kamba zake[emoji23][emoji23][emoji23]
Sema wanaume ni wasafi sana kwenye kupika japo sio wote.

Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
 
Asante kwa pongezi zako chief.
I wish ningekukaribisha, lakini ndio hivyo nimebonyeza ndonga yote hadi vyombo nikaosha kibabe....teh[emoji23][emoji23]
 
😂😂😂😂😂😂😂vitajuana na kuchambuana vyenyewe huko huko tumboni
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Mie siku nikiwa napika tembele sinaga muda wa kuchambua kwa kweli
Nakata kabisa hio sijui nini,napika majani yake tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wale wa chips yai chakula hiki wangeishia ICU [emoji12][emoji12][emoji12]
Please chief, spare my rib's..... [emoji28][emoji28]
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Hahahhahaha unakuwaga unakimbilia wapi?
Raha ya tembere miti yake[emoji23][emoji23]

Vinakuwa vingi sana asee hata kuchambua tabu 😁😅

Hapo unakuta zimeletwa fungu tatu na muuzaji na kimbele mbele anatoa na nyongeza!
 
Back
Top Bottom