Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Tunaishi kwa kutegemeana banaMh mjumbe, ebu usimtumikie shetani kwa bidii hivyo....[emoji28][emoji28][emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaishi kwa kutegemeana banaMh mjumbe, ebu usimtumikie shetani kwa bidii hivyo....[emoji28][emoji28][emoji28]
Atasema mapenzi ya kizungu kumsaidia mke kupika na kuosha vyombo, LIMBWATA hua halimwachi mtu salamaKumbe umeoa?
Naona Pete hapo
Hahaha...duh changamoto hiyoMimi huwa napenda saana kupika nikiwa ktk gheto langu
Tatizo kubwa ni kuosha vyombo
Hapo lazma nitafute kibarua anifanyie hio kazi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...............[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💪Ila kumbuka nimesema (japo siyo wote)[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mh mjumbe, tatizo umeharibiwa na biriani tupu.....teh[emoji28][emoji28][emoji28]
Na mimi hivyo hivyo si mvivu wa kupika bali kuosha vyombo lazima nitumie vyote viishe kwanza ndio nioshe tenaMimi huwa napenda saana kupika nikiwa ktk gheto langu
Tatizo kubwa ni kuosha vyombo
Hapo lazma nitafute kibarua anifanyie hio kazi
Ahsante sana!Lazima, siwezi kwenda peke yangu
"Name calling" hii sheria ilikuwepo zamani,sujui kwa sasaDickson umenistua na heading ya shoo ya kibabe....nikajua nimeshapata replacement
Ulitaka akuoe?Kumbe umeoa?
Naona Pete hapo
Kwani anashindwa nini kujivisha pete kama ya ndoa ?
Hahaha...duh changamoto hiyo