Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,067
- 10,393
Dah...upo Shem? [emoji2960]Daah Mungu tu ndio anajua nilichokuwa nafikiria [emoji87][emoji87]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah...upo Shem? [emoji2960]Daah Mungu tu ndio anajua nilichokuwa nafikiria [emoji87][emoji87]
Nilitaka kushangaa mkuu! Basi sawa!Hapana mkuu, ni mguu wa jirani yangu hapa
Wazee wa ku-zoom! Picha huwa zinaongea maneno mengi sana kwa wakati mmoja.Mkuu mambo yakuchunguza makongoro ya watu si sawa wewe angalia msosi tu
😀😀😀😀😀😀
Nani shemeji yako? Unaniita shem unataka kuninyima nini acha zako bwanaDah...upo Shem? [emoji2960]
Nani shemeji yako? Unaniita shem unataka kuninyima nini acha zako bwana
Dah...[emoji2960]Nani shemeji yako? Unaniita shem unataka kuninyima nini acha zako bwana
Hicho kisamvu nimekielewa sana mkuu.Mimi show yangu ya kibabe leo ninapiga kisamvu cha nazi, parachichi + nyama iliyokaangwa vizuri ya kushiba jana nilikula hiviView attachment 1152665
Ipi hiyo babeNakuona tu unavyo ichezea bahati...
Ananipenda wakati ananiita Shem, mapenzi gani yayo babeUkipendwa pendeka babe...teh[emoji23][emoji23]
Sijui umenielewaaa...Mkuu, huku ushirombo huwa hatumwagi kitu kama huko Dar....
HahahahahahaMkuu, ebu usinikosee adabu kabisa...
Kwahiyo hapo unamaanisha sahani ilinifedhehesha eehhh....!!!???