Ushimen: Leo nilivyo piga show ya kibabe

Kijana njoo kanda ya ziwa huku tunakula dona(ugali) na sembe(mboga)
Hiyo ni dona chief....
Pengine nikuelekeze kwa lugha njema ya kuiandaa tafadhali.
And, bahati yangu njema sana mimi sikuli dona ya maindi chafu..
 
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658
Umeua😂
 
Aisee jamaa unalamba na sahani kabisa,halafu jamaa unaonekana uliishi enzi za mawe za kati
 
Kuna wakati huwa nashangaa sana wanaume wanapo lala na njaa kisa eti mama nanii hayupo...!!
Kwa hili nampongeza sana mama yangu kwa malezi aliyo nilelea, na hasa wakati ule nilikuwa nadhani ananitesa kwa kunipangia zam ya kupika ilhali nikiwa mtoto wa kiume.
Mama yule alikua akinilazimisha kupika kwa kutumia kuni, tena nje huku wadada nilikuwa nikiwazoza wakipita na wakinicheka huku wakiwa wamevalia viatu vya losso na suruali za dontachi.
View attachment 1152652View attachment 1152653View attachment 1152655View attachment 1152656View attachment 1152657View attachment 1152658
Classmate
 
Back
Top Bottom