Ushimen sikujui unijui ila nakuulizia huku ndugu yako!

Ushimen sikujui unijui ila nakuulizia huku ndugu yako!

adden

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2015
Posts
7,033
Reaction score
15,638
habari za jioni.
samahani kama nawasumbua.
nilikuwa namuulizia jamaa anaitwa Ushimen kama yupo humu.
shida yangu ni kumsalimia tuu.

sisi watanzania tumefunzwa utamaduni wa kujuliana hali hata kama hamjuani.

kama unamfahamu na hayupo humu mpelekeeni salamu zake.
 
Nipo sana mkuu, ingawa kidogo majukumu yamechangamka zaidi kwa sasa.
 
Back
Top Bottom