Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Haujakosea sana mkuu, ingawa baadae nilijikuta nikijiona mchoyo/ninadeni hapa na nikabakiza kupost nafasi za kazi ninazo kutana nazo.Nakumbuka Alisema analog out JF kwa muda ila atakuwa visitor wa kawaida bila ku comment chochote