Haujakosea sana mkuu, ingawa baadae nilijikuta nikijiona mchoyo/ninadeni hapa na nikabakiza kupost nafasi za kazi ninazo kutana nazo.Nakumbuka Alisema analog out JF kwa muda ila atakuwa visitor wa kawaida bila ku comment chochote
Kama sikubadilisha ID mwaka ule......ππWatu bwana sijui wapoje.. eti kuna mmoja hapa anasema hii ni id nyingine ya Ushimen. Nimemwambia aende zake huko wivu tu unamsumbua
Makubwa haya...ushimen mhindi?Kuna thread humu ilikuwa inauliza iwapo JF kuna wahindi nami namwambia wahindi wapo humu na huyo ushiman ni mmoja wa wahindi wachache wa jf
Ndio wewe? Mbona saalam yako ya kinyonge sana ππββοΈπββοΈπββοΈMhhh! Kwema!
Ushimen nilikua naye muda huo ..lolNdio wewe? Mbona saalam yako ya kinyonge sana ππββοΈπββοΈπββοΈ
Demi Nakusalimia rafikiangu wa kitambo tangu kwa mama naniliiDume hilo
Haya bwana nimejuta kukuchokozaUshimen nilikua naye muda huo ..lol
Sijambo mh mjumbe.Ndio wewe? Mbona saalam yako ya kinyonge sana ππββοΈπββοΈπββοΈ
Wangari kasema mlikuwa wote, ndio mama wa watoto wako?Sijambo my mjumbe.
Mimi na familia yangu pia tunakusalimu
Mi sijambo rafikiDemi Nakusalimia rafikiangu wa kitambo tangu kwa mama nanilii
Asante sana... Wasalimie hapo nyumbaniMi sijambo rafiki
Ni shemeji yangu kwa shoganguWangari kasema mlikuwa wote, ndio mama wa watoto wako?
Asante sana.... Ni imani yangu ndoa yako itadumu sana maana unajua kumdanganya mwanaume ππNi shemeji yangu kwa shogangu
Nikweli mkuu...Wangari kasema mlikuwa wote, ndio mama wa watoto wako?
Na inadumu kweri kweri(in Magu's voice)Asante sana.... Ni imani yangu ndoa yako itadumu sana maana unajua kumdanganya mwanaume ππ
hahahahaha kmmmk
Mungu akusamehe sana mkuuhahahahaha kmmmk
ila huu mchezo wa kujitekenya na kucheka acha
AmenMungu akusamehe sana mkuu