Pre GE2025 Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Nimefanya uchunguzi ,utafiti na ufuatiliaji mkubwa sana juu ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.nimekuja kuona kuwa mwakani kutakuwa na mnyukano mkali sana na ushindani wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika kura za maoni za kumtafuta wa kupeperusha Bendera ya CCM kwa ajili ya kushindana na wagombea wa vyama vingine vya upinzani.

Pili nimeona dalili za wazi kuwa kutakuwa na wana CCM wengi sana tena sana watakaojitokeza katika kuchukua Fomu za ubunge .pili nimefanya utafiti na upelelezi na kugundua kuwa kuna wabunge wana hatihati kubwa sana ya kupoteza nafasi zao kwa wagombea wapya wa CCM na hivyo kutorejea tena bungeni.

Nimegundua Kuwa kwenye baadhi ya Majimbo kuna watu walipata kura chache yaani hawakuongoza katika kura za maoni katika uchaguzi wa ndani ya chama wa mwaka 2020 lakini wakapewa nafasi ya kupeperusha bendera.na wengine walipopita wakawa na maelewano madogo na huku ngazi za chini na kujikita juu. na hivyo kuna wajumbe huku chini wamejiandaa na kupania kuwadondosha na kuwapa wengine ambao wameonyesha kuwa karibu na wananchi wakati wote..

Nimegundua pia kuna wengine ni kama wameanza kuzinduka mwishoni kuelekea mwakani na hivyo kuanza kufanya matukio ya hapa na pale kwenye jamii kama vile kuandaa mashindano au ligi za mipira,kugawa zawadi za hapa na pale ,kutembelea makundi fulani fulani,kujitokeza katika ibada na kuchanga vitita vinono vinono kwa ajili ya ujenzi au ukarabati wa makanisa,kutoa misaada ya hapa na pale na kuanza kuwakumbuka viongozi wa kata,matawi na Mashina.jambo ambalo linaonyesha ni kama wanakumbuka shuka au Blanketi wakati kumekucha.

Lakini pia kuna wengine baada ya kwenda Bungeni walijisahau sana na kukaa bila kufanya ziara za kusikiliza kero za wananchi wala kurejesha mrejesho kutoka bungeni.wengine walianza kuwa na migogoro mikubwa na viongozi wa chama wilaya na mikoa na hata kuishi kwa misuguano tangia wakati wa kura za maoni .

Lakini pia kuna wale waliopitishwa licha ya kutoongoza kwenye kura za maoni halafu wakashindwa kufanya kazi kukidhi matarajio ya chama.hawa watakuwa na kibarua kizito sana kupenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM.

Mwisho ni kuwa kila mmoja atavuna alichopanda. Lakini pia atakayepenya kwenye kura za Maoni za CCM atakuwa na uhakika na nafasi kubwa sana ya kuingia na kwenda Bungeni. kutokana na imani kubwa ya wananchi kwa CCM, kudhoofika kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA ambayo ilikuwa na nguvu sana na ushawishi mkubwa hususani kwa kundi la vijana na wasomi hasa wana vyuo miaka iliyopita hususani 2010-2015

.kukosekana kwa sera ,ajenda na hoja zenye kugusa maisha na hisia za watu kutoka vyama vya upinzani pamoja na kutoaminika na kuaminika kwa upinzani kulikotokana na kuonyesha kuwa wapinzani ni wasaka Tonge na wachumia tumbo tu wanaosumbuliwa na njaa.

Naendelea kufuatilia sana ila kuna wabunge itabidi wapumzike tu na kuachia mawazo na damu mpya kuingia Bungeni. Kuna wabunge itabidi tu wakipokea kiinua mgongo wakubali tu kukaa pembeni kulinda heshima zao.kuna wabunge itabidi wakubali tu kuwa wakati ni ukuta na kila jambo na wakati wake na wakati wao wa kuwa Bungeni Umekwisha.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Pili nimeona dalili za wazi kuwa kutakuwa na wana CCM wengi sana tena sana watakaojitokeza katika kuchukua Fomu za ubunge .pili nimefanya utafiti na upelelezi na kugundua kuwa kuna wabunge wana hatihati kubwa sana ya kupoteza nafasi zao kwa wagombea wapya na hivyo kutorejea tena bungeni.

Nimegundua Kuwa kwenye baadhi ya Majimbo kuna watu hawana walipata kura chache yaani hawakuongoza katika kura za maoni katika uchaguzi wa ndani ya chama wa mwaka 2020 lakini wakapewa nafasi ya kupeperusha bendera.na wengine walipopita wakawa na maelewano madogo na huku ngazi za chini ja kujikita juu na hivyo kuna wajumbe huku chini kumejiandaa na kupania kuwadondosha na kuwapa wengine ambao wameonyesha kuwa karibu na wananchi.

Lakini pia kuna wengine baada ya kwenda Bungeni walijisahau sana na kukaa bila kufanya ziara za kusikiliza kero za wananchi wala kurejesha mrejesho kutoka bungeni.wengine walianza kuwa na migogoro mikubwa na viongozi wa chama wilaya na mikoa na hata kuishi kwa misuguano tabia wakati wa kura za maoni .

Mwisho ni kuwa kila mmoja atavuna alichopanda. Lakini pia atakayepenya kwenye kura za Maoni za CCM atakuwa na uhakika na nafasi kubwa sana ya kuingia na kwenda Bungeni kutokana na imani kubwa ya wananchi kwa CCM, kudhoofika kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA ambayo ilikuwa na nguvu sana miaka iliyopita hususani 2010-2015 , kukosekana kwa sera ,ajenda na hoja zenye kugusa maisha na hisia za watu kutoka vyama vya upinzani.

Naendelea kufuatilia sana ila kuna wabunge itabidi wapumzike tu na kuachia mawazo na damu mpya kuingia Bungeni. Kuna wabunge itabidi tu wakipokea kiinua mgongo wakubali tu kukaa pembeni kulinda heshima zao.kuna wabunge itabidi wakubali tu kuwa wakati ni ukuta na kila jambo na wakati wake.

Actually,
mchujo wa kura za maoni CCM hakujawahi kua baridi. Mara zote huwa wa moto mno zaidi ya uchaguzi mkuu wenyewe.

Na kwa hakika,
Uchaguzi wa kura za maoni CCM ukimalizika, kwenye uchaguzi mkuu, huwa ni kukamilisha ratiba, taratibu za kisheria na katiba ya nchi tu.

Viongizi wengi huwa tayari wamesha chaguliwa ndani ya CCM na ndio maana, upinzani husubiri kwanza CCM imalize uchaguzi wa ndani ili walau waambulie makapi yaliyochujwa na kukataliwa na wanaCCM 🐒
 
Kwani imekuaje wee Lucas? Mbna ghafla?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna wabunge hawatarejea Bungeni Mwakani na badala yake nafasi zao zitachukuliwa na wabunge wapya kutoka ndani ya CCM. Hii ni baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimefanya uchunguzi ,utafiti na ufuatiliaji mkubwa sana juu ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.nimekuja kuona kuwa mwakani kutakuwa na mnyukano mkali sana na ushindani wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika kura za maoni za kumtafuta wa kupeperusha Bendera ya CCM kwa ajili ya kushindana na wagombea wa vyama vingine vya upinzani.

Pili nimeona dalili za wazi kuwa kutakuwa na wana CCM wengi sana tena sana watakaojitokeza katika kuchukua Fomu za ubunge .pili nimefanya utafiti na upelelezi na kugundua kuwa kuna wabunge wana hatihati kubwa sana ya kupoteza nafasi zao kwa wagombea wapya na hivyo kutorejea tena bungeni.

Nimegundua Kuwa kwenye baadhi ya Majimbo kuna watu hawana walipata kura chache yaani hawakuongoza katika kura za maoni katika uchaguzi wa ndani ya chama wa mwaka 2020 lakini wakapewa nafasi ya kupeperusha bendera.na wengine walipopita wakawa na maelewano madogo na huku ngazi za chini ja kujikita juu na hivyo kuna wajumbe huku chini kumejiandaa na kupania kuwadondosha na kuwapa wengine ambao wameonyesha kuwa karibu na wananchi.

Nimegundua pia kuna wengine ni kama wameanza kuzinduka mwishoni kuelekea mwakani na hivyo kuanza kufanya matukio ya hapa na pale kwenye jamii kama vile kuandaa mashindano au ligi za mipira,kugawa zawadi za hapa na pale ,kutembelea makundi fulani fulani,kujitokeza katika ibada na kuchanga vitita vinono vinono kwa ajili ya ujenzi au ukarabati wa makanisa,kutoa misaada ya hapa na pale na kuanza kuwakumbuka viongozi wa kata,matawi na Mashina.jambo ambalo linaonyesha ni kama wanakumbuka shuka au Blanketi wakati kumekucha.

Lakini pia kuna wengine baada ya kwenda Bungeni walijisahau sana na kukaa bila kufanya ziara za kusikiliza kero za wananchi wala kurejesha mrejesho kutoka bungeni.wengine walianza kuwa na migogoro mikubwa na viongozi wa chama wilaya na mikoa na hata kuishi kwa misuguano tabia wakati wa kura za maoni .

Lakini pia kuna wale waliopitishwa licha ya kutoongoza kwenye kura za maoni halafu wakashindwa kufanya kazi kukidhi matarajio ya chama.hawa watakuwa na kibarua kizito sana kupenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM.

Mwisho ni kuwa kila mmoja atavuna alichopanda. Lakini pia atakayepenya kwenye kura za Maoni za CCM atakuwa na uhakika na nafasi kubwa sana ya kuingia na kwenda Bungeni kutokana na imani kubwa ya wananchi kwa CCM, kudhoofika kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA ambayo ilikuwa na nguvu sana miaka iliyopita hususani 2010-2015 , kukosekana kwa sera ,ajenda na hoja zenye kugusa maisha na hisia za watu kutoka vyama vya upinzani.

Naendelea kufuatilia sana ila kuna wabunge itabidi wapumzike tu na kuachia mawazo na damu mpya kuingia Bungeni. Kuna wabunge itabidi tu wakipokea kiinua mgongo wakubali tu kukaa pembeni kulinda heshima zao.kuna wabunge itabidi wakubali tu kuwa wakati ni ukuta na kila jambo na wakati wake.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utuhi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Majizi yatakuwa yanashindana.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimefanya uchunguzi ,utafiti na ufuatiliaji mkubwa sana juu ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.nimekuja kuona kuwa mwakani kutakuwa na mnyukano mkali sana na ushindani wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika kura za maoni za kumtafuta wa kupeperusha Bendera ya CCM kwa ajili ya kushindana na wagombea wa vyama vingine vya upinzani.

Pili nimeona dalili za wazi kuwa kutakuwa na wana CCM wengi sana tena sana watakaojitokeza katika kuchukua Fomu za ubunge .pili nimefanya utafiti na upelelezi na kugundua kuwa kuna wabunge wana hatihati kubwa sana ya kupoteza nafasi zao kwa wagombea wapya wa CCM na hivyo kutorejea tena bungeni.

Nimegundua Kuwa kwenye baadhi ya Majimbo kuna watu walipata kura chache yaani hawakuongoza katika kura za maoni katika uchaguzi wa ndani ya chama wa mwaka 2020 lakini wakapewa nafasi ya kupeperusha bendera.na wengine walipopita wakawa na maelewano madogo na huku ngazi za chini na kujikita juu. na hivyo kuna wajumbe huku chini wamejiandaa na kupania kuwadondosha na kuwapa wengine ambao wameonyesha kuwa karibu na wananchi wakati wote..

Nimegundua pia kuna wengine ni kama wameanza kuzinduka mwishoni kuelekea mwakani na hivyo kuanza kufanya matukio ya hapa na pale kwenye jamii kama vile kuandaa mashindano au ligi za mipira,kugawa zawadi za hapa na pale ,kutembelea makundi fulani fulani,kujitokeza katika ibada na kuchanga vitita vinono vinono kwa ajili ya ujenzi au ukarabati wa makanisa,kutoa misaada ya hapa na pale na kuanza kuwakumbuka viongozi wa kata,matawi na Mashina.jambo ambalo linaonyesha ni kama wanakumbuka shuka au Blanketi wakati kumekucha.

Lakini pia kuna wengine baada ya kwenda Bungeni walijisahau sana na kukaa bila kufanya ziara za kusikiliza kero za wananchi wala kurejesha mrejesho kutoka bungeni.wengine walianza kuwa na migogoro mikubwa na viongozi wa chama wilaya na mikoa na hata kuishi kwa misuguano tangia wakati wa kura za maoni .

Lakini pia kuna wale waliopitishwa licha ya kutoongoza kwenye kura za maoni halafu wakashindwa kufanya kazi kukidhi matarajio ya chama.hawa watakuwa na kibarua kizito sana kupenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM.

Mwisho ni kuwa kila mmoja atavuna alichopanda. Lakini pia atakayepenya kwenye kura za Maoni za CCM atakuwa na uhakika na nafasi kubwa sana ya kuingia na kwenda Bungeni. kutokana na imani kubwa ya wananchi kwa CCM, kudhoofika kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA ambayo ilikuwa na nguvu sana na ushawishi mkubwa hususani kwa kundi la vijana na wasomi hasa wana vyuo miaka iliyopita hususani 2010-2015

.kukosekana kwa sera ,ajenda na hoja zenye kugusa maisha na hisia za watu kutoka vyama vya upinzani pamoja na kutoaminika na kuaminika kwa upinzani kulikotokana na kuonyesha kuwa wapinzani ni wasaka Tonge na wachumia tumbo tu wanaosumbuliwa na njaa.

Naendelea kufuatilia sana ila kuna wabunge itabidi wapumzike tu na kuachia mawazo na damu mpya kuingia Bungeni. Kuna wabunge itabidi tu wakipokea kiinua mgongo wakubali tu kukaa pembeni kulinda heshima zao.kuna wabunge itabidi wakubali tu kuwa wakati ni ukuta na kila jambo na wakati wake na wakati wao wa kuwa Bungeni Umekwisha.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hasa darasa la saba wapishe tu wasomi waende Bungeni. Pia wanawake wapishe kwenye ngazi ya juu ya Uongozi maana hawawezi na wametufikisha hapa tulipo kuwa Nchi ya matukio.
 
Ushindani gani huo utakaokuwa mkali?

Labda ushindani wa kuhujumiana kwa kuwekeana sumu.
 
Hasa darasa la saba wapishe tu wasomi waende Bungeni. Pia wanawake wapishe kwenye ngazi ya juu ya Uongozi maana hawawezi na wametufikisha hapa tulipo kuwa Nchi ya matukio.
Acha mawazo ya kibaguzi.mawazo yako hayo yanakufanya upeo wako wa kufikiri kupofuka kabisa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Nimefanya uchunguzi ,utafiti na ufuatiliaji mkubwa sana juu ya nafasi ya ubunge ndani ya CCM.nimekuja kuona kuwa mwakani kutakuwa na mnyukano mkali sana na ushindani wa hali ya juu sana kuwahi kushuhudiwa katika kura za maoni za kumtafuta wa kupeperusha Bendera ya CCM kwa ajili ya kushindana na wagombea wa vyama vingine vya upinzani.

Pili nimeona dalili za wazi kuwa kutakuwa na wana CCM wengi sana tena sana watakaojitokeza katika kuchukua Fomu za ubunge .pili nimefanya utafiti na upelelezi na kugundua kuwa kuna wabunge wana hatihati kubwa sana ya kupoteza nafasi zao kwa wagombea wapya wa CCM na hivyo kutorejea tena bungeni.

Nimegundua Kuwa kwenye baadhi ya Majimbo kuna watu walipata kura chache yaani hawakuongoza katika kura za maoni katika uchaguzi wa ndani ya chama wa mwaka 2020 lakini wakapewa nafasi ya kupeperusha bendera.na wengine walipopita wakawa na maelewano madogo na huku ngazi za chini na kujikita juu. na hivyo kuna wajumbe huku chini wamejiandaa na kupania kuwadondosha na kuwapa wengine ambao wameonyesha kuwa karibu na wananchi wakati wote..

Nimegundua pia kuna wengine ni kama wameanza kuzinduka mwishoni kuelekea mwakani na hivyo kuanza kufanya matukio ya hapa na pale kwenye jamii kama vile kuandaa mashindano au ligi za mipira,kugawa zawadi za hapa na pale ,kutembelea makundi fulani fulani,kujitokeza katika ibada na kuchanga vitita vinono vinono kwa ajili ya ujenzi au ukarabati wa makanisa,kutoa misaada ya hapa na pale na kuanza kuwakumbuka viongozi wa kata,matawi na Mashina.jambo ambalo linaonyesha ni kama wanakumbuka shuka au Blanketi wakati kumekucha.

Lakini pia kuna wengine baada ya kwenda Bungeni walijisahau sana na kukaa bila kufanya ziara za kusikiliza kero za wananchi wala kurejesha mrejesho kutoka bungeni.wengine walianza kuwa na migogoro mikubwa na viongozi wa chama wilaya na mikoa na hata kuishi kwa misuguano tangia wakati wa kura za maoni .

Lakini pia kuna wale waliopitishwa licha ya kutoongoza kwenye kura za maoni halafu wakashindwa kufanya kazi kukidhi matarajio ya chama.hawa watakuwa na kibarua kizito sana kupenya kwenye kura za maoni ndani ya CCM.

Mwisho ni kuwa kila mmoja atavuna alichopanda. Lakini pia atakayepenya kwenye kura za Maoni za CCM atakuwa na uhakika na nafasi kubwa sana ya kuingia na kwenda Bungeni. kutokana na imani kubwa ya wananchi kwa CCM, kudhoofika kwa vyama vya upinzani hususan CHADEMA ambayo ilikuwa na nguvu sana na ushawishi mkubwa hususani kwa kundi la vijana na wasomi hasa wana vyuo miaka iliyopita hususani 2010-2015

.kukosekana kwa sera ,ajenda na hoja zenye kugusa maisha na hisia za watu kutoka vyama vya upinzani pamoja na kutoaminika na kuaminika kwa upinzani kulikotokana na kuonyesha kuwa wapinzani ni wasaka Tonge na wachumia tumbo tu wanaosumbuliwa na njaa.

Naendelea kufuatilia sana ila kuna wabunge itabidi wapumzike tu na kuachia mawazo na damu mpya kuingia Bungeni. Kuna wabunge itabidi tu wakipokea kiinua mgongo wakubali tu kukaa pembeni kulinda heshima zao.kuna wabunge itabidi wakubali tu kuwa wakati ni ukuta na kila jambo na wakati wake na wakati wao wa kuwa Bungeni Umekwisha.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huku Mtaani kwangu leo uchaguzi umesitishwa maana limetokea varangati wapiga kura idadi ni chache ila kura nyomi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom