Pre GE2025 Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
wewe chawa
ushindani mkali
kwa wagombea kiti
bi chura ataumbuka
ataingia mpya
 
Uchaguzi utakua mgumu kwa ccm kama huyo mama yako mtampitisha apeperushe bendera ya ccm kwenye kugombea urais. Ukweli mama hakubaliki licha ya kubadili gea siku za karibuni lakini kucheza na kina makamba alipoteza imani kwa umma. Wavuja jasho hawamwamini. Kutokana na hivyo hataweza kuwabeba wabunge wa ccm na hakika wengi watapoteza nafasi zao kwa wapinzani. Kama mashambwa unajua kuchambua kisayansi utakubali wabunge wa ccm walibebwa na Magufuli 2020 kwa vile mwenyewe alikua kipenzi cha umma wa watanzania. Ni mtu walimuamini kutunza maslahi yao. Tatizo mashambwa umejigeuza chawa wa mama kwa hivyo umekosa uwezo kufanya uchambuzi kisayansi.
 
Mwingine hatarejea ikulu 😃

Rais Samia anakubalika sana na ni kiongozi mwenye ushawishi mkubwa sana kwa watanzania na nje ya mipaka ya Tanzania.
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna wabunge hawatarejea Bungeni Mwakani na badala yake nafasi zao zitachukuliwa na wabunge wapya kutoka ndani ya CCM. Hii ni baada ya kufanya uchunguzi wangu binafsi.
Eeh, uko sahihi KABISA , maana wabunge hata hawaonekani majimboni ,, yafaa ziingie damu mpya zilizo na maono ya maendeleo ya Kasi kuu.
 
Sehemu nyingi uchaguzi unarudiwa baada kutokea wizi wa kura. Huu ushindani uwepo hata kwenye Uchaguzi mwakani kwa ngazi zote. Kusiwepo na mambo ya kuchapisha fomu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…