Pre GE2025 Ushindani utakuwa ni mkali ndani ya CCM katika kumtafuta wa kupeperusha bendera ya Chama. Wengine hawatarejea Bungeni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Umeona vyema Lucas,

Kuna mtu mmoja jasiri atachukua fomu Dakika za mwisho kabisa,

Mtu huyo atapata uungwaji mkono sana ndani ya chama na kufanikiwa kumshinda aliyepo.

Kiukweli,

HATOGOMBEA!!
 
Umeona vyema Lucas,

Kuna mtu mmoja jasiri atachukua fomu Dakika za mwisho kabisa,

Mtu huyo atapata uungwaji mkono sana ndani ya chama na kufanikiwa kumshinda aliyepo.

Kiukweli,

HATOGOMBEA!!
Acha kuota ndoto
 
Usiniambie na hilo zingo ulilo nalo nyuma alikukusahidia kitu .. bado mambo yamekuwa magumu kwako bwana lukas msambwanda ...si nilisikia kuwa ccm kuna makomredi wengi sana au siku hizi makomredi hawataki tena misambwanda.
 
Wee endelea kuota ndoto za mchana. Sisi tunakwambia mama hakubali bara kwa sababu sio mtu wa watu.
Wewe ndiye haukubaliki.kama una ubavu chukua fomu ya Urais mwakani ili ushindane naye uone utakavyo dondokea pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…