Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Huko Mpanda, ATCL itapata abiria wa kutosha ndugu yangu?
Tuwekeze katika safari za kimataifa angalau tunaweza kufanikiwa lakini sio kwa safari za ndani ya nchi.
Wanaizaya hamna jema??Phillemon Mikael, wacha kupotosha! PW haijawahi kumiliki ndege 20 nyingi ilizowahi kuwa nazo ni 12 kama sijakosea. Nakubali partnership ya PW na KQ inawalalia PW kwa regional routes ila kumbuka KQ waliponunua PW waliikuta ikiwa shirika dogo sana lisilo na ndege hata nne! Suala la serikali kuzuia mashirika ya pension kununua share za PW zilizouzwa DSE na si NSE pia lilikuwa sawa maana biashara hii haitabiriki ni kichaa. PW wajilaumu wenyewe kwa kubweteke katika biashara hii kumbuka kipindi wako wenyewe walikuwa wana-charge mpaka $400 kwa routes fupi kama Dar-Nrb.
Wanaizaya hamna jema??
Kwa miaka 25 Shirika la precision Ndio pekee limetufunika uchi...huwezi kuwalaumu nauli kuwa juu Kama utazingatia Sheria za soko...hata atc walikuwa juu ...illa walikuwa on and off ...hawa kutaka bure walikuwa wanakopa....pia issue ya Idadi ya Ndege ....Shirima kaingia UbA Na KA Akiwa Na ndeg 10 hivi ...zilikuwa za Abiria ,illa Baada ya kuingia UbA akakopa ATR 72 upgrade ya ATR 42 ... Idadi kumi...Sasa HAPO Ndio Kenya wakiamua chia MIZIGO ...hawa kuingia Mtaji wakianza KUPAMBANA kulipa kwa mapato ya tickets...Hali Ikaja NGUMU....
Kenya walihama ujasusi ..Ili kuwa Kabisa Usafiri wa ANGALAU ...Tanzania ...Na kutumikmiza
Wacha uwongo! Leta evidence!
nenda kwenye website yao tafadhali ...siku hizi ....kumuuliza mtu maswali kama haya inakuwa shida kidogo wakati you can have all informations at your finger tips.......
Huduma bora precision air huduma kuendana na pesa yako.ATCL wangalie nauli zao wakishusha sana wajiandae kuomba msaada wa kujiendesha kutoka govt.Wasije wakajikuta wananyanganyana abiria na fastjet huku precision ikiwa inaendelea kumaintain corporate customer wake.Haya sasa atcl na fastjet tunaona nan ana huduma bora
Shirima ana tamaa kwa nini aliuza hisa zake tena zaidi ya 51% ?air Tanzania wamenunua ndege mpya ....Hawa Precision walishawahi kumiliki hadi ndege 20 ATR na kuna wakati ilikuwa ndio shirika pekee linalotufunika uchi ....bila precision KENYA airways wangetuonea sana ..
Walikuwa wanaenda vizuri hadi pale Kenya airways walipofanya mbinu chafu ya kuinunu ....hili ilitakiwa idara ya usalama igundue ......walinunua Precision halafu wakaanza kufanya mbinu chafu za kuiuwa ..
walichofanya walinunua hisa 51% za mzee Michael Shirima ....lakini baada ya kununua hawakuweka mtaji walioahidi na wakaanza kuhujumu route za Precison ...pia wakimtumia Meneja Mkenya Michael Kioko ..wakaingiza Precision kwenye mkataba wa kununua ndege 10 mpya toka ATR huku wakijuwa mtaji walioahidi hawajaweka ......
Mzee wa watu akaja kushituka too late ...akamuondoa meneja mgeni akamuweka meneja mzawa ......tena mwanamke ambaye amejtahidi sana kufukia hasara .....na naona karibuni nao wanakuwa vizuri ....
Ilibidi mzee shirima kuangukia kwa Wakenya kupata mtaji zaidi baada ya kuwa ombi lake la kupewa mkopo nafuu na serikali kukataliwa kwa sababu za kibinafsi na chuki tu .hata alipoamua kuuza share zingine Nairobi na Dar stock exchange ...watu hao hao wabaya wenye chuki kwa mzawa waliandika barua kwenye mashirika yaliotaka kununua hisa hasa ya hifadhi kuyakataza yasifanye hivyo ....hili nilisikia mwenyewe kwa masikio Mwenyekiti mmoja wa bodi za haya mashirika akiwa VIP lounge akimuambia mkubwa mmoja kuwa walipewa maelekezo mahsusi ya kutonunua hisa za precision ili kumkomoa Mzee Shirima .... , alikuwa anastahili mkopo kwakuwa alikuwa anasaidia sana serikali upande wa kubeba watalii ....na alistahili kukopa hakutaka bure ....au hata wangemdhamini ....huyu mzee anastahili tuzo kwa kuweza kusimama tena Kenya Airways tayari walikuwa wamemmaliza.
Shirima ana tamaa kwa nini aliuza hisa zake tena zaidi ya 51% ?
Hivi unajua mambo ya hisa wewe? Ukishauzza hisa zaidi ya 51% ni kwamba hapo huna chako tena huna sauti wala maamuzi ya shifika...Huyo alienunua ndio mmiliki wa kampuni hata akiamua kufunga biashara hakuna wa kumzuia kwa sababu kampuni ni yake...Shirima alichofanya ni kuwauzia Wakenya ShirikaSio tamaa Bali Ndio biashara ....unauza Hisa Ili ...upate Fedha za Mtaji ,urudishe gharama Zako (faida),upate technology mpya Au masoko Mapya ....
Uuzaji Hisa ni Mzuri unaweza kuwa unamiliki Malori 40 kwa asilimia 100% .....ukamuuzia mtu asilimia 60 % ya Hisa akaingiza Malori Mapya 100 .....kipi bora hapo ??? Kimiliki asilimia 100 ya Lori 40 Au asilimia 40% ya Lori 140 ?
Hii ndiyo Tanzania, moja ya nchi maskini sana duniani, ikiwa na watu wenye IQ ndogo sana duniani.Sisi watu wa ajabu sana. Kwa nini tusianze na kuboresha viwanja kwanza kabla ya kuamua ndege za kununua? Si ajabu hata kipindi fulani Waziri alitokwa mapovu kuhalalisha ununuzi wa V8 kwa kisingizio cha ubovu wa barabara badala ya kufikiria kuboresha barabara hizo.
Kywauziaje shirika? Wakati yeye ndie mwenye 51% shares. Unaweza kuniambia watu wenye umiliki ufuatao wa hisa wanaitwaje na uwezo wao wa kufanya maamuzi kwenye Co yoyote ile ukoje?Hivi unajua mambo ya hisa wewe? Ukishauzza hisa zaidi ya 51% ni kwamba hapo huna chako tena huna sauti wala maamuzi ya shifika...Huyo alienunua ndio mmiliki wa kampuni hata akiamua kufunga biashara hakuna wa kumzuia kwa sababu kampuni ni yake...Shirima alichofanya ni kuwauzia Wakenya Shirika
Soma vizuri maelezo ya jamaa amesema Shirima amewauzia Wakenya 51% ya hisa za shirika.Kywauziaje shirika? Wakati yeye ndie mwenye 51% shares. Unaweza kuniambia watu wenye umiliki ufuatao wa hisa wanaitwaje na uwezo wao wa kufanya maamuzi kwenye Co yoyote ile ukoje?
51%-100%
20%-49%
Less than 20%
Inakosekana sera na mwelekeo thabiti wa serikali kuhusu biashara. ATCL ni shiriky sababu za kufilisika kuiwezesha kushindana itakapoingia rasmi ulingoni?Haya sasa atcl na fastjet tunaona nan ana huduma bora