Ushindani wa kibiashara: Fastjet yaja na aina mpya ya ndege "Embraer E190"

Ushindani wa kibiashara: Fastjet yaja na aina mpya ya ndege "Embraer E190"

Phillemon Mikael, wacha kupotosha! PW haijawahi kumiliki ndege 20 nyingi ilizowahi kuwa nazo ni 12 kama sijakosea. Nakubali partnership ya PW na KQ inawalalia PW kwa regional routes ila kumbuka KQ waliponunua PW waliikuta ikiwa shirika dogo sana lisilo na ndege hata nne! KQ ina shares around 42%! Suala la serikali kuzuia mashirika ya pension kununua share za PW zilizouzwa DSE na si NSE pia lilikuwa sawa maana biashara hii haitabiriki ni kichaa. PW wajilaumu wenyewe kwa kubweteke katika biashara hii kumbuka kipindi wako wenyewe walikuwa wana-charge mpaka $400 kwa routes fupi kama Dar-Nrb.
 
Kibiashara fast jet watakuwa Na uwezo wa kutoza bei Nafuu Zaidi ....Kwani wamechukua embadier Yenye engine power Na fuel consumption sawa Na Bombadier lakini Yao ina more searing space ....inabeba Abiria 105 ...kibiashara Hilo Ni Bao ...
Ina maana Katika Kila route watakayoshindana Na atc wao watakuwa Na advantage ya seats kwa asilimia 40%
Mfano kwa route zenye faida za Mbeya ,Arusha ,mwanza Kama atc wameweka nauli Kati ya 160,000 hadi 180,000 ...basi fast jet watakuwa Na Uwezo wa kupiga nauli ya 100,000 hadi 130,000 ...Na mapato watapata sawa ...SKY WARS
 
Huko Mpanda, ATCL itapata abiria wa kutosha ndugu yangu?

Tuwekeze katika safari za kimataifa angalau tunaweza kufanikiwa lakini sio kwa safari za ndani ya nchi.

Sisi watu wa ajabu sana. Kwa nini tusianze na kuboresha viwanja kwanza kabla ya kuamua ndege za kununua? Si ajabu hata kipindi fulani Waziri alitokwa mapovu kuhalalisha ununuzi wa V8 kwa kisingizio cha ubovu wa barabara badala ya kufikiria kuboresha barabara hizo.
 
Phillemon Mikael, wacha kupotosha! PW haijawahi kumiliki ndege 20 nyingi ilizowahi kuwa nazo ni 12 kama sijakosea. Nakubali partnership ya PW na KQ inawalalia PW kwa regional routes ila kumbuka KQ waliponunua PW waliikuta ikiwa shirika dogo sana lisilo na ndege hata nne! Suala la serikali kuzuia mashirika ya pension kununua share za PW zilizouzwa DSE na si NSE pia lilikuwa sawa maana biashara hii haitabiriki ni kichaa. PW wajilaumu wenyewe kwa kubweteke katika biashara hii kumbuka kipindi wako wenyewe walikuwa wana-charge mpaka $400 kwa routes fupi kama Dar-Nrb.
Wanaizaya hamna jema??

Kwa miaka 25 Shirika la precision Ndio pekee limetufunika uchi...huwezi kuwalaumu nauli kuwa juu Kama utazingatia Sheria za soko...hata atc walikuwa juu ...illa walikuwa on and off ...hawa kutaka bure walikuwa wanakopa....pia issue ya Idadi ya Ndege ....Shirima kaingia UbA Na KA Akiwa Na ndeg 10 hivi ...zilikuwa za Abiria ,illa Baada ya kuingia UbA akakopa ATR 72 upgrade ya ATR 42 ... Idadi kumi...Sasa HAPO Ndio Kenya wakiamua chia MIZIGO ...hawa kuingia Mtaji wakianza KUPAMBANA kulipa kwa mapato ya tickets...Hali Ikaja NGUMU....
Kenya walihama ujasusi ..Ili kuwa Kabisa Usafiri wa ANGALAU ...Tanzania ...Na kutumikmiza
 
Wacha uwongo! Leta evidence!
 
nenda kwenye website yao tafadhali ...siku hizi ....kumuuliza mtu maswali kama haya inakuwa shida kidogo wakati you can have all informations at your finger tips.......

History
Precision Air was established in 1993. It started as a private charter air Transport Company operating a five-seater piper Aztec aircraft. Its initial line of business mainly entailed providing connections to tourists visiting the rich natural attractions of Serengeti National Park, Ngorongoro Crater, in northern Tanzania, the Zanzibar Island in the Indian Ocean and other parts of the country from Arusha town as its base.

The vast nature of Tanzania coupled with a growing demand for air transport services as the country started to embrace a free market economy soon drove Precision Air into operating scheduled flights maintaining Arusha as its base. The first flights were scheduled using a seven-seater one engine Cessna 207, one seven-seater Cessna 402, two eleven-seater Cessna 404s and the nineteen-seater LET 410 until mid 1990s when the airline introduced the bigger and more comfortable ATR fleet.

Services:
Precision Air is currently headquartered in Dar es Salaam- the commercial city of the United Republic of Tanzania. The airline’s main services include; scheduled flights, chartered and cargo air services which are growing at an impressive rate. In May 2009, Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA) granted the company a self-handling license and ground handling operations started at the beginning of November. The airline is seeking a third party ground handling license from TCAA.

Partners:
The most significant turnaround of the airline came in 2003 when Kenya Airways acquired a minority 49% shareholding leaving majority 51% shares in the control of one local Tanzanian businessman. Since then, Precision Air has literally turned its image into a professionally run modern regional airline.

On the 21st December 2011 Precision Air made history by being the first airline in Tanzania to list on Dar es Salaam Stock Exchange with a total of 7,056 (Seven thousand fifty six) investors who took part in the Initial Public Offering in November 2011.

The airline raised Tshs. 12 billion (i.e. subscribed by 43.18%) most of which were taken up by Tanzanian nationals both retail investors and corporate entities as intended by the company.

The 7,056 new shareholders have therefore taken a stake of 16% in the company. This now means 58% of the company is owned by Tanzanians, 41% Kenya Airways and 1% by other nationals. The anchor share holders, being Kenya Airways and local Tanzanian businessman.

However, the airline also works closely with a number of companies and has code-share agreements with over ten reputable airlines worldwide.

History | Precision Air : YOU ARE WHY WE FLY

Wapi hizo ATR kumi unazosema?
 
Wewe. Umeweka walizoanza nazo...Mimi nimekueleza at the pick of their performance ...walifikisha Idadi hiyo sema Ndege Karibu nane walikuwa wamekodi.....
Ukienda Kwenye current fleet utaona hivyo ...Baada ya kuwa wamerudisha Ndege walizokodi au kununua ...Baada ya kuelemewa Na madeni Yaliyotokana Na KA kutoweka mtaji.

Edit
The company has previously operated the following equipment:

ATR 42-320. -8
Boeing 737-300-1
Bombardier Dash 8. -1

Currently in 2016 the fleets

ATR 42 -500 -2
ATR 42-600 - 2
ATR 72-500 -5
 
Haya sasa atcl na fastjet tunaona nan ana huduma bora
Huduma bora precision air huduma kuendana na pesa yako.ATCL wangalie nauli zao wakishusha sana wajiandae kuomba msaada wa kujiendesha kutoka govt.Wasije wakajikuta wananyanganyana abiria na fastjet huku precision ikiwa inaendelea kumaintain corporate customer wake.
 
air Tanzania wamenunua ndege mpya ....Hawa Precision walishawahi kumiliki hadi ndege 20 ATR na kuna wakati ilikuwa ndio shirika pekee linalotufunika uchi ....bila precision KENYA airways wangetuonea sana ..
Walikuwa wanaenda vizuri hadi pale Kenya airways walipofanya mbinu chafu ya kuinunu ....hili ilitakiwa idara ya usalama igundue ......walinunua Precision halafu wakaanza kufanya mbinu chafu za kuiuwa ..
walichofanya walinunua hisa 51% za mzee Michael Shirima ....lakini baada ya kununua hawakuweka mtaji walioahidi na wakaanza kuhujumu route za Precison ...pia wakimtumia Meneja Mkenya Michael Kioko ..wakaingiza Precision kwenye mkataba wa kununua ndege 10 mpya toka ATR huku wakijuwa mtaji walioahidi hawajaweka ......
Mzee wa watu akaja kushituka too late ...akamuondoa meneja mgeni akamuweka meneja mzawa ......tena mwanamke ambaye amejtahidi sana kufukia hasara .....na naona karibuni nao wanakuwa vizuri ....

Ilibidi mzee shirima kuangukia kwa Wakenya kupata mtaji zaidi baada ya kuwa ombi lake la kupewa mkopo nafuu na serikali kukataliwa kwa sababu za kibinafsi na chuki tu .hata alipoamua kuuza share zingine Nairobi na Dar stock exchange ...watu hao hao wabaya wenye chuki kwa mzawa waliandika barua kwenye mashirika yaliotaka kununua hisa hasa ya hifadhi kuyakataza yasifanye hivyo ....hili nilisikia mwenyewe kwa masikio Mwenyekiti mmoja wa bodi za haya mashirika akiwa VIP lounge akimuambia mkubwa mmoja kuwa walipewa maelekezo mahsusi ya kutonunua hisa za precision ili kumkomoa Mzee Shirima .... , alikuwa anastahili mkopo kwakuwa alikuwa anasaidia sana serikali upande wa kubeba watalii ....na alistahili kukopa hakutaka bure ....au hata wangemdhamini ....huyu mzee anastahili tuzo kwa kuweza kusimama tena Kenya Airways tayari walikuwa wamemmaliza.
Shirima ana tamaa kwa nini aliuza hisa zake tena zaidi ya 51% ?
 
Shirima ana tamaa kwa nini aliuza hisa zake tena zaidi ya 51% ?

Sio tamaa Bali Ndio biashara ....unauza Hisa Ili ...upate Fedha za Mtaji ,urudishe gharama Zako (faida),upate technology mpya Au masoko Mapya ....
Uuzaji Hisa ni Mzuri unaweza kuwa unamiliki Malori 40 kwa asilimia 100% .....ukamuuzia mtu asilimia 60 % ya Hisa akaingiza Malori Mapya 100 .....kipi bora hapo ??? Kimiliki asilimia 100 ya Lori 40 Au asilimia 40% ya Lori 140 ?
 
Hivi unajua mambo ya hisa wewe? Ukishauzza hisa zaidi ya 51% ni kwamba hapo huna chako tena huna sauti wala maamuzi ya shifika...Huyo alienunua ndio mmiliki wa kampuni hata akiamua kufunga biashara hakuna wa kumzuia kwa sababu kampuni ni yake...Shirima alichofanya ni kuwauzia Wakenya Shirika
 
Sisi watu wa ajabu sana. Kwa nini tusianze na kuboresha viwanja kwanza kabla ya kuamua ndege za kununua? Si ajabu hata kipindi fulani Waziri alitokwa mapovu kuhalalisha ununuzi wa V8 kwa kisingizio cha ubovu wa barabara badala ya kufikiria kuboresha barabara hizo.
Hii ndiyo Tanzania, moja ya nchi maskini sana duniani, ikiwa na watu wenye IQ ndogo sana duniani.

Mambo muhimu yanawekwa pembeni na mambo mengine yasiyo ya lazima yanapewa kipaumbele.
 
Hivi unajua mambo ya hisa wewe? Ukishauzza hisa zaidi ya 51% ni kwamba hapo huna chako tena huna sauti wala maamuzi ya shifika...Huyo alienunua ndio mmiliki wa kampuni hata akiamua kufunga biashara hakuna wa kumzuia kwa sababu kampuni ni yake...Shirima alichofanya ni kuwauzia Wakenya Shirika
Kywauziaje shirika? Wakati yeye ndie mwenye 51% shares. Unaweza kuniambia watu wenye umiliki ufuatao wa hisa wanaitwaje na uwezo wao wa kufanya maamuzi kwenye Co yoyote ile ukoje?
51%-100%
20%-49%
Less than 20%
 
Soma vizuri maelezo ya jamaa amesema Shirima amewauzia Wakenya 51% ya hisa za shirika.
 
Haya sasa atcl na fastjet tunaona nan ana huduma bora
Inakosekana sera na mwelekeo thabiti wa serikali kuhusu biashara. ATCL ni shiriky sababu za kufilisika kuiwezesha kushindana itakapoingia rasmi ulingoni?
Huko nyuma serikali iliamua kujitoa kwenye shughuli za biashara ili kuleta ushindani wa kibiashara wa kampuni binafsi na za umma kuongeza ufanisi na tija. Skerikali imewekeza kwenye usafiri wa anga kwa mara nyingine pesa nyingi kama inavyowekeza kwenye barabara na usafiri wa majini.
Serikali inanunua magari yake kuhudumia shughuli za umma. Inanunua vivuko kwa ajili ya wananchi wake. Mbona sasa katika usafiri wa anga inaingia kufanya biashara kwa mlango wa nyuma? Nielewesheni wadau.
Ni mchawi tu anayemtabiria mgonjwa kifo. Lkn pasipo kufumua ATCL na kuwapa mafunzo stahiki watendaji wake, itajikuta ICU.
 
Fastjet na ndege wanazotaka kuleta zitawapa milage kwani zina gharama ndogo pia.Lakini ukitaka kuwajua fastjet kakate tiketi siku moja kabla ya safari au uairishe safari na uombe ku rebook.
 
Back
Top Bottom