Ushindani wa kibiashara: Fastjet yaja na aina mpya ya ndege "Embraer E190"

Soma vizuri maelezo ya jamaa amesema Shirima amewauzia Wakenya 51% ya hisa za shirika.

Kwenye Masuala ya corporate management .....hata Ushauri wa mwenye Hisa asilimia 1 unaweza kusikilizwa....hawafanyi siasa Bali Ni facts
Kwanza juwa matajiri wote wakubwa Duniani Kama kina warren buffet ..wengi hawapendi Kununua shares majority za kumfanyia asumbuke Na uendeshaji ....Bali unanunua Hisa Kwenye Kampuni Yenye menejimenti nzuri ...Kwenye sekta mbali mbali ....
 
Nani kakudanganya? Wanaleta ndege ambazo zitakidhi mahitaji ya watanzania.
Na wako kibiashara zaidi sio magumashi kama ATCL
Tupe data zilizokupelekea kusema haya, kumbuka huzi za fastjet ni jet engine
 
Huko Mpanda, ATCL itapata abiria wa kutosha ndugu yangu?

Tuwekeze katika safari za kimataifa angalau tunaweza kufanikiwa lakini sio kwa safari za ndani ya nchi.
Bombadier za ATCL bado ni suluhisho kwa watanzania wengi kutokana na uwezo wake wa kutua hata viwanja visivyo vya lami na vyenye runway fupi.
 
Mkuu Salary Slip kumbe haya mambo ulianza zamani, ingebidi TCAA wakulipe kama expert opinion maker kuwasaidia kwenye regulations kuyazuia mashirika haya kuuwana kugombea kasungura kadogo.

P.
 
Mkuu Phillemon Mikael, thanks for this, kiukweli its sad!, ila kwenye data, ndege ni 10, na sharez za KQ ni 49% not 51% hivyo Shirima was still the majority shareholder angeweza kuuzuia uhuni wa KQ lakini aliwaamini sana na kumuachia kila kitu Kioko.

Nilifanya mahojiano na yule Mama aliyetake over from Kioko.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…