Ushindi feki wa HAMAS ulikuwa ni wa masaa 12. Sasa ni miezi 12 wanapukutika na kusababishia Wapalestina kutaabika

Ushindi feki wa HAMAS ulikuwa ni wa masaa 12. Sasa ni miezi 12 wanapukutika na kusababishia Wapalestina kutaabika

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana.

20241008_080545.jpg

Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao.

20241008_080305.jpg

Maafa hayo waliyo wafanyia wana Israel pia yalirudi kwa Wapalestina lakini siku zote atalaumiwa muyahudi lakini ukweli ni kuwa mahangaiko ya wapalestina na kutokana na itikadi za kitapeli za Iran na hamas kiujumla.

20241008_080522.jpg

Harakati za hamas sio za ukombozi wowote ila ni za itikadi za kitapeli zinazoshabikiwa na matapeli.
 
Kama Israel wanapambana na kikundi kidogo cha panya rodi kwa muda wote huo bila kukimaliza chote basi wana jeshi dhaifu sana wasijaribu vita na Iran
 
Kama Israel wanapambana na kikundi kidogo cha panya rodi kwa muda wote huo bila kukimaliza chote basi wana jeshi dhaifu sana wasijaribu vita na Iran
Wanapambana na panyaroad anaesaidia na wamme zao iran na matapeli wengine
 
Basi Iran wananguvu sana wametuma kikundi kidogo tu cha panya rodi kinapambana na Israel alaf muda wote huo Israel imeshindwa kukimaliza.
Kwa hali hiyo Israel asijaribu vita ya moja kwa moja na Iran ye aendelee kuvizia tu
Iran= russia
 
Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana.View attachment 3118414

Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao
View attachment 3118415

Maafa hayo waliyo wafanyia wana Israel pia yalirudi kwa Wapalestina lakini siku zote atalaumiwa muyahudi lakini ukweli ni kuwa mahangaiko ya wapalestina na kutokana na itikadi za kitapeli za Iran na hamas kiujumla
View attachment 3118416

Harakati za hamas sio za ukombozi wowote ila ni za itikadi za kitapeli zinazoshabikiwa na matapeli.
Tulijua israel atawafuta Hamas ndani ya masaa 72 cha ajabu watu 2000 anaminyana nao ndani ya miezi 12 pamoja na misaada ya USA tunaamini kwa maajabu hayo Allah yupo upande wa palestina wanaodhulumiwa ardhi yao takatifu kawanyima uwezo mazayuni yenye kila aina ya madege na silaha nzito zaidi ya wapalestina wenye manati na baruti!
 
1000060933.png

Taratibu mnaliwa

Hawana papala na wavaa kobaz
 
Punguzeni ligi basi watu wanakufa pasipo nahatia hamasi ni wajinga sana wametengeneza jambo baya na lime kuwa msiba Kwa vizazi vya Gaza
 
Punguzeni ligi basi watu wanakufa pasipo nahatia hamasi ni wajinga sana wametengeneza jambo baya na lime kuwa msiba Kwa vizazi vya Gaza
Hawataki kuelewa hawa wengine.

Wanatanguliza dini kuliko utu

Wanadhani eti hamas wakiachiwa nchi eti hawataaacha vita
 
Hawataki kuelewa hawa wengine.

Wanatanguliza dini kuliko utu

Wanadhani eti hamas wakiachiwa nchi eti hawataaacha vita
Cha kujiuliza dini zipo Ila mbona pumzi tunayovuta hainatofauti na iyo haki wanayoisemea wanayo kuwazidi wengine watu weusi tunasafari kubwa sana ya kujikomboa kama dini flani ni bora kuliko nyingine mbona hakuna cha utofauti katika maitaji ya kibinadamu
 
Punguzeni ligi basi watu wanakufa pasipo nahatia hamasi ni wajinga sana wametengeneza jambo baya na lime kuwa msiba Kwa vizazi vya Gaza
Je watu kutoka kongo waje kutufurusha hapa wakidai palikuwa kwao mwaka 1600 babu zao walilima mawese kigoma wewe utawapisha?
 
Je watu kutoka kongo waje kutufurusha hapa wakidai palikuwa kwao mwaka 1600 babu zao walilima mawese kigoma wewe utawapisha?
With proven record, yes.

Mtu akikuambia ukiua mkristo utaenda ukapata mabikara 72, utarejea???
 
Back
Top Bottom