Ushindi feki wa HAMAS ulikuwa ni wa masaa 12. Sasa ni miezi 12 wanapukutika na kusababishia Wapalestina kutaabika

With proven record, yes.

Mtu akikuambia ukiua mkristo utaenda ukapata mabikara 72, utarejea???
How you can prove something you didn't write, na wao ndio walimletea zengwe mwenye maandiko wataacha kubadili kweli maandiko
 
View attachment 3118460
Tulia tuli mzuri yanakuja
Iran juzi karusha missiles kutoka nchini kwake hadi Israel kaenda kupiga Nevatim milliary Airbase kateketeza F-35 fighter jet zote za Israel zilizokua Nevatim, USA na washirika wenzake wanaompa msaada Israel wameona pale kwa Iran wanatest moto kwa ulimi wamemwambia Netanyahu atulize boli hana uwezo wa kupambana na Iran
 
20241008_103650.jpg
 
Urban warfare si rahisi na kwa dunia nzima ni Israel pekee anaiwezea
Kuweza nini? Mbona siwaelewi nyie jamaa au mnafuatlia news gani? Yaan kubeba bomu kwenda kulishusha hospitali, msikitini nyumba za raia vituo vya mafuta nani asiyeweza vita hivyo? Matokeo yake baada ya mwaka hamas sherehe yao ya juzi wamekamata mateka wanajeshi wengine
 
Attachments

  • VID_20241007_075805_029.mp4
    4 MB
Safari hii myahudi hapoi anasema mpaka magaidi yaishe pamoja na mfadhiri wao irani
 
Hasara waliyopata wapalestina hawatakaa wairudishe milele, fikiria hata vita ikiisha leo wanaanzia wapi kurudisha maisha yao? Gaza ni kifusi tu then kijekuwa makazi, halafu huduma za kijamii kama shule, hospital nk. So watoto wa Palestina na elimu labda kizazi kijacho na watakaoenda nje watabahatika. Otherwise ni majuto tu. Pale binadamu anapokuwa mnyama!!
 
Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana.

View attachment 3118414

Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao.

View attachment 3118415

Maafa hayo waliyo wafanyia wana Israel pia yalirudi kwa Wapalestina lakini siku zote atalaumiwa muyahudi lakini ukweli ni kuwa mahangaiko ya wapalestina na kutokana na itikadi za kitapeli za Iran na hamas kiujumla.

View attachment 3118416

Harakati za hamas sio za ukombozi wowote ila ni za itikadi za kitapeli zinazoshabikiwa na matapeli.
miezi 12 wanapambana kuimaliza Hamas na hakuna anayejua km imewezekana au itawezekana hakikaHamas kiboko
 
Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana.

View attachment 3118414

Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao.

View attachment 3118415

Maafa hayo waliyo wafanyia wana Israel pia yalirudi kwa Wapalestina lakini siku zote atalaumiwa muyahudi lakini ukweli ni kuwa mahangaiko ya wapalestina na kutokana na itikadi za kitapeli za Iran na hamas kiujumla.

View attachment 3118416

Harakati za hamas sio za ukombozi wowote ila ni za itikadi za kitapeli zinazoshabikiwa na matapeli.
Mwaka umeisha huu tumeanza wa pili
 
Hasara waliyopata wapalestina hawatakaa wairudishe milele, fikiria hata vita ikiisha leo wanaanzia wapi kurudisha maisha yao? Gaza ni kifusi tu then kijekuwa makazi, halafu huduma za kijamii kama shule, hospital nk. So watoto wa Palestina na elimu labda kizazi kijacho na watakaoenda nje watabahatika. Otherwise ni majuto tu. Pale binadamu anapokuwa mnyama!!
Kiwe kifusi pawe mchanga pale ndio kwao kuna ardhi nyingi tu waliahidiwa lakini wamekataa na kubaki kwao
 
Back
Top Bottom