Basi Iran wananguvu sana wametuma kikundi kidogo tu cha panya rodi kinapambana na Israel alaf muda wote huo Israel imeshindwa kukimaliza.Hamas= Iran
Iran= russiaBasi Iran wananguvu sana wametuma kikundi kidogo tu cha panya rodi kinapambana na Israel alaf muda wote huo Israel imeshindwa kukimaliza.
Kwa hali hiyo Israel asijaribu vita ya moja kwa moja na Iran ye aendelee kuvizia tu
Tulijua israel atawafuta Hamas ndani ya masaa 72 cha ajabu watu 2000 anaminyana nao ndani ya miezi 12 pamoja na misaada ya USA tunaamini kwa maajabu hayo Allah yupo upande wa palestina wanaodhulumiwa ardhi yao takatifu kawanyima uwezo mazayuni yenye kila aina ya madege na silaha nzito zaidi ya wapalestina wenye manati na baruti!Wahuni hawa kama ilivyo kawaida yao ya unyama na itikadi za kitapeli zisizokuwa na maana walifanya maafa sana.View attachment 3118414
Maafa wanayofanya na itikadi walizonazo haziwezi vumilika kwa dunia ya kawaida. Ndio maana walibonyezwa kisawa kisawa kulingana na unyama wao
View attachment 3118415
Maafa hayo waliyo wafanyia wana Israel pia yalirudi kwa Wapalestina lakini siku zote atalaumiwa muyahudi lakini ukweli ni kuwa mahangaiko ya wapalestina na kutokana na itikadi za kitapeli za Iran na hamas kiujumla
View attachment 3118416
Harakati za hamas sio za ukombozi wowote ila ni za itikadi za kitapeli zinazoshabikiwa na matapeli.
Tunasubiri tumuone Netanyahu safari hii kama anauwezo hata wa kurusha jiwe Iran ili mvua ya moto inyeshe pale Tel avivIran= russia
Tulijua israel atawafuta Hamas ndani ya masaa 72 cha ajabu watu 2000 anaminyana nao ndani ya miezi 12 pamoja na misaada ya USA tunaamini kwa maajabu hayo Allah yupo upande wa palestina wanaodhulumiwa ardhi yao takatifu kawanyima uwezo mazayuni yenye kila aina ya madege na silaha nzito zaidi ya wapalestina wenye manati na baruti!
Hawataki kuelewa hawa wengine.Punguzeni ligi basi watu wanakufa pasipo nahatia hamasi ni wajinga sana wametengeneza jambo baya na lime kuwa msiba Kwa vizazi vya Gaza
Cha kujiuliza dini zipo Ila mbona pumzi tunayovuta hainatofauti na iyo haki wanayoisemea wanayo kuwazidi wengine watu weusi tunasafari kubwa sana ya kujikomboa kama dini flani ni bora kuliko nyingine mbona hakuna cha utofauti katika maitaji ya kibinadamuHawataki kuelewa hawa wengine.
Wanatanguliza dini kuliko utu
Wanadhani eti hamas wakiachiwa nchi eti hawataaacha vita
Je watu kutoka kongo waje kutufurusha hapa wakidai palikuwa kwao mwaka 1600 babu zao walilima mawese kigoma wewe utawapisha?Punguzeni ligi basi watu wanakufa pasipo nahatia hamasi ni wajinga sana wametengeneza jambo baya na lime kuwa msiba Kwa vizazi vya Gaza
Je watu kutoka kongo waje kutufurusha hapa wakidai palikuwa kwao mwaka 1600 babu zao walilima mawese kigoma wewe utawapisha?