Ushindi feki wa HAMAS ulikuwa ni wa masaa 12. Sasa ni miezi 12 wanapukutika na kusababishia Wapalestina kutaabika

With proven record, yes.

Mtu akikuambia ukiua mkristo utaenda ukapata mabikara 72, utarejea???
How you can prove something you didn't write, na wao ndio walimletea zengwe mwenye maandiko wataacha kubadili kweli maandiko
 
View attachment 3118460
Tulia tuli mzuri yanakuja
Iran juzi karusha missiles kutoka nchini kwake hadi Israel kaenda kupiga Nevatim milliary Airbase kateketeza F-35 fighter jet zote za Israel zilizokua Nevatim, USA na washirika wenzake wanaompa msaada Israel wameona pale kwa Iran wanatest moto kwa ulimi wamemwambia Netanyahu atulize boli hana uwezo wa kupambana na Iran
 
 
Urban warfare si rahisi na kwa dunia nzima ni Israel pekee anaiwezea
Kuweza nini? Mbona siwaelewi nyie jamaa au mnafuatlia news gani? Yaan kubeba bomu kwenda kulishusha hospitali, msikitini nyumba za raia vituo vya mafuta nani asiyeweza vita hivyo? Matokeo yake baada ya mwaka hamas sherehe yao ya juzi wamekamata mateka wanajeshi wengine
 

Attachments

  • VID_20241007_075805_029.mp4
    4 MB
Safari hii myahudi hapoi anasema mpaka magaidi yaishe pamoja na mfadhiri wao irani
 
Hasara waliyopata wapalestina hawatakaa wairudishe milele, fikiria hata vita ikiisha leo wanaanzia wapi kurudisha maisha yao? Gaza ni kifusi tu then kijekuwa makazi, halafu huduma za kijamii kama shule, hospital nk. So watoto wa Palestina na elimu labda kizazi kijacho na watakaoenda nje watabahatika. Otherwise ni majuto tu. Pale binadamu anapokuwa mnyama!!
 
miezi 12 wanapambana kuimaliza Hamas na hakuna anayejua km imewezekana au itawezekana hakikaHamas kiboko
 
Mwaka umeisha huu tumeanza wa pili
 
Kiwe kifusi pawe mchanga pale ndio kwao kuna ardhi nyingi tu waliahidiwa lakini wamekataa na kubaki kwao
 
Hamas wame F around wame Find out.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…