Ushindi wa bao 5-0 kwa Geita Gold ni ushahidi kuwa CEO Barbra alikuwa hatakiwi Simba

Mwishokambi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2020
Posts
390
Reaction score
1,425
Tang Barbra atangaze kuachia ngazi Simba na leo ameonekana Qatar akishuhudia final ni ishara tosha kuwa Ceo huyo alikuwa akiizamisha Simba, Simba inapiga mpira mwingi sana jamani, wachezaji waliokuwa wanaonekana wazito wamebadilika sana, Akpan, amebadilika mno, mno.Timu inacheza soka safi sana, hata makocha wazungu wenyewe hawana uwezo wa kupiga mwingi sana kama wa leo.

Simba haitopoteza mchezo had inabeba ubingwa, iwe mvua au jua na mafia wa Simba watazicheza gemu za Yanga, tulieni tulieni, Barbra alikuwa kimeo Simba.

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo "Mafia" wamerudi? [emoji2]
 
Barbra anachukiwa na wapiga dili wa Simba, lakini pamoja na hilo sidhani kama ushindi wa leo unahusiana na kutotakiwa kwa Barbra kwasababu hata mechi ya mzunguko wa kwanza Geita walifungwa goli tatu na Barbra alikuwa ni C.E.O wa Simba. Ni kuzidiwa tu kwa timu kimbinu na ufundi hasa ukijifanya timu inayojua kuucheza mpira mwingi ( kupishana na Simba) basi utafungwa magoli mengi. Nidhamu ilikuwa ndogo kwa Geita

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Ugenini kugumu kaka, ugenini bila mpango kazi nje ya uwanja hutoboi, we huoni jukwaani kulikuwa na mafia Idd Kajuna, huyo mtu hatar sana kwenye mipango ya ushind

Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
 
Kwa mawazo yako , Simba bingwa wa Africa Kwa sababu CEO siyo Babra. Kama wachezaji hawakumpenda, wangeomba kuondoka. They are not professional at all and that is why they don't succeed in the professional arena. The board itself does not conduct itself in professional manner. Their day to day kula depends on fallout of the operations of the club . If you have a strong CEO , they will do anything to discredit the CEO.
 
Braza na mkuu kabisa Mwishokambi mi nakufatilia sana hata instagram najua unaifahamu sana simba tangu enzi hizoooo,najua wewe ni mwamba sana na huwa nakukubali sana..

Nyie ndo wenye simba yenu haswaaa,najua mnajua mengi sana kuhusu simba,so siwezi kubisha kitu kutoka kwako na kwa mkuu Gentamycin, yule demu babra alikuwa hatoshi kuwa mtendaji mkuu wa simba.

Mwanamke akipewa wadhifa wa juu kama ule,lazima ajione mungu mtu,mi sjapenda kabisa ishu ya kumuacha mtukutu bm3 nakocha wa viungo abdel,anaonekana ana attitude saa yule dada ingawa mi muhimu ila kwenye soka la bongo kuna mipango mingi nje ya uwanja kuliko ndani.

Tutaona kama yanga atatamba akikutana na mnyama sahizi.
 
Unaleta tafrani ukitaja mafia.

Sasa kama hata mpira wako mafia inakuaje katika nyanja nyingine?
 
Kwa uhuru wa kuabudu, , sasa hata masalakwilanga wa kutokea huko kijijini ibadakuli anaweza kuja kukupa live za CEO wa Simba akiwa Doha....
 
Huyo Morison huko alikoenda amesaidia kipi kikubwa?
 
Ina maana simba aikuhonga mkuu, maana yanga akimshindilia mpinzani kauli zenu ni amehonga vipi nyie amkuhonga?
 
Una IDs nyingi unakumbukaje zote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…