Mwishokambi
JF-Expert Member
- Nov 23, 2020
- 390
- 1,425
Tang Barbra atangaze kuachia ngazi Simba na leo ameonekana Qatar akishuhudia final ni ishara tosha kuwa Ceo huyo alikuwa akiizamisha Simba, Simba inapiga mpira mwingi sana jamani, wachezaji waliokuwa wanaonekana wazito wamebadilika sana, Akpan, amebadilika mno, mno.Timu inacheza soka safi sana, hata makocha wazungu wenyewe hawana uwezo wa kupiga mwingi sana kama wa leo.
Simba haitopoteza mchezo had inabeba ubingwa, iwe mvua au jua na mafia wa Simba watazicheza gemu za Yanga, tulieni tulieni, Barbra alikuwa kimeo Simba.
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app