Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Dogo hajui mpira. Sisi tunatamani kumrudisha Morisson kwenu. Hamna kitu kabisa, hana nidhamu basi tu imekuwa aibu yetu.Huyo Morison huko alikoenda amesaidia kipi kikubwa?
hahaha,ndo maana jana yondani na kipa wamezinguaKwahiyo "Mafia" wamerudi? [emoji2]
Kama timu yako haijawahi kufungwa 5, 0 na simba ,basi una bahati mbayaIna maana simba aikuhonga mkuu, maana yanga akimshindilia mpinzani kauli zenu ni amehonga vipi nyie amkuhonga?
Kuwa CEO wa timu ndio iwe lazima awe uwanjani? Ina maana alipokuwa CEO alihudhuria michezo yote?Awe Ceo halafu asiwe uwanjani kushuhudia gemu na badala yake ameonekana Qatar fainal, ni Ceo gan huyo
Sent from my SM-F916B using JamiiForums mobile app
Wewe ni muongo, Simba imeshinda dhidi ya Geita jana ikiwa chini ya Barbra. Sasa kama sababu ni Barbra, si wangeweza kusubiri siku atakapoondoka ofisini? Haya tuambie basi, CEO wa Simba jana alikuwa ni nani?Tang Barbra atangaze kuachia ngazi Simba na leo ameonekana Qatar akishuhudia final ni ishara tosha kuwa Ceo huyo alikuwa akiizamisha Simba, Simba inapiga mpira mwingi sana jamani, wachezaji waliokuwa wanaonekana wazito wamebadilika sana, Akpan, amebadilika mno, mno.Timu inacheza soka safi sana, hata makocha wazungu wenyewe hawana uwezo wa kupiga mwingi sana kama wa leo.