Ushindi wa bao 5-0 kwa Geita Gold ni ushahidi kuwa CEO Barbra alikuwa hatakiwi Simba

Ushindi wa bao 5-0 kwa Geita Gold ni ushahidi kuwa CEO Barbra alikuwa hatakiwi Simba

Tang Barbra atangaze kuachia ngazi Simba na leo ameonekana Qatar akishuhudia final ni ishara tosha kuwa Ceo huyo alikuwa akiizamisha Simba, Simba inapiga mpira mwingi sana jamani, wachezaji waliokuwa wanaonekana wazito wamebadilika sana, Akpan, amebadilika mno, mno.Timu inacheza soka safi sana, hata makocha wazungu wenyewe hawana uwezo wa kupiga mwingi sana kama wa leo.
Wewe ni muongo, Simba imeshinda dhidi ya Geita jana ikiwa chini ya Barbra. Sasa kama sababu ni Barbra, si wangeweza kusubiri siku atakapoondoka ofisini? Haya tuambie basi, CEO wa Simba jana alikuwa ni nani?
 
Back
Top Bottom