1.tunajifunza kuwa hata hujui jukwaa sahihi lakupost hii post yako
2.tumejifunza husomi thread za mada zilizotangulia zinazofanana na ya kwako unakurupuka kupost wakati mada ipo
3.tumejifunza kuwa ushindi wa obama ni moja ya ajira kwa mtanzania kwasababu umepozst kwenye jukwaa la ajira na tenda
pass