1.tunajifunza kuwa hata hujui jukwaa sahihi lakupost hii post yako
2.tumejifunza husomi thread za mada zilizotangulia zinazofanana na ya kwako unakurupuka kupost wakati mada ipo
3.tumejifunza kuwa ushindi wa obama ni moja ya ajira kwa mtanzania kwasababu umepozst kwenye jukwaa la ajira na tenda
pass
yan mijitu mingine inakurupuka tu
hawa ndo walewale wakiitwa kwenye interview wakishindwa oh oh walikuwa washaweka watu wao...tulia kijana soma na ujue sehemu sahihi ya kupost hizo pumba zako!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.