Ushindi wa Chamazi leo ulipangwa

Mimi ni Simba damu damu,nasema tushiriki Shirikisho kwani hatukuwa na timu nzuri,na lawama ni kwa wanachama wenzetu wa Dar waliomrudisha Mangungu uongozini. Machungu haya yawe chachu ya kuijenga Simba upya. Inasikitisha sana lakini hatuwezi kujifariji kwa kuwepa chanzo cha matatizo yetu. Hatuna viongozi wenye passion ya mchezo wa mpira,hao.waliopo kwa malengo yao binafi ikiwepo ya kisiasa na kujipatia wengine kuoiga pesa.
 
Swali fikirishi je unajua kwanini Simba Mzee Huwa anafukwazwa kwenye familia akaanza kuzulula
 
Magoli ya Simba mengi ni ndondokela, ukitazama timu zingne znakua na movement nzur nasio bahat nasibu.
 
Goli la simba lilikuwa la mauzo hakuna ubishi
 
Nyingi ndio mmewafundisha Azam FC sanaa mliwafunga Geita magoli ya mauza uza na wao wamepiga comeback
 
Kunya anye kuku tu bata kaharisha. Mbona hizo biashara nyie Yanga na Simba mnafanya sana,yeye Azam ni nani hadi asifanye? Wacheni kelele huu upuuzi mumeanza nyie mapacha wa Kariakoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…